Lowassa is 'Dead' Politically

Mkuu vipi tena! Ulianza vizuri, lakini naona jamaa wanataka kukuingiza kwenye unhelpful TIRADES za watu wa vijiweni - just keep your cool.
Kaka ushauri mzuri. Hawa ndio great thinkers wetu, inabidi tuwakubali.
 

I suggest that you make some minor corrections to the title and paragraph as follows:
1. Physically: 'Lowasa is dying' - meaning that he is in the process, he's not dead yet. This is demonstrated by the physical incapacities you've mentioned which are due to Parkinsonism. This is the wish of The Creator and we are all in this process.

2. Politically: He is dying of a pathological condition called presidentophilia - this is psychological excessive obsession of becoming a president. This is his own wish and not of The Creator. He will blame himself on 25 Oct as it might cost his life!
 

Wazee tayari huyo imekwisha mgharimu, he is paying for the price. Mfamaji, Reflection: Oscar Kambona, Augustine L.Mrema and Seif Shariff Hamad .
 
Shiiittt!! what is it with that nigger!? wanting to get the job to humiliate CCM! isn't that objective view? is he really for the people or more of himself and his ego!?
 
in the name of father, son and holy spirit, i will vote for ENL, no matter what has been said or will be said. Goal is To have CCM out of the system.

After getting CCM out of the system!?
 

Mwaka huu mtaongea hadi kikwenu:cheer2:
 

Take 5 stars aisee *****
 
Moja ya makosa ambayo wanasiasa wetu wa kiafrika wanafanya ni kutokuwa na washauri wa kisaikolojia. Wengi wanakuwa na washauri wa kiuchumi zaidi. (ni mawazo yangu binafsi) kuwa baada ya shughuli ya Dodoma, ENL alikuwa somehow stressed, aliathirika sana kisaikolojia.

Kama angelipata vacation ya mwezi mzima huko Hawaii au popote mbali; akarefresh kabisa nje ya upepo huu wa Bongo na akawa yuko peke yake kwa muda, NA asintaentertain hizi "Pole Mzee lakini never give up"; baada ya mwezi mmoja, usinge-approach na habari au hadithi za UKAWA au ndugu zake na UKAWA akakuelewa; hapa wamecheza na wakati na akili yake ikiwa haijakaa sawasawa! Unless uniambie ENL ni comedian.

Yeye anadhani anautumia UKAWA kuachieve political ambition zake, but wao wana agenda zaidi ya kumtumia yeye kujitengeneza kisiasa zaidi. kupitia yeye watavuna wanachama, watapandisha status yao kisiasa; they know that he might not make it kwa urais; but watakuwa wamegain zaidi kuliko wangemsimamisha Dr au Proffessor kwenye mbio hizi.

In politics watapretend kumpenda; watamsifia sana (but kinafiki) but with hidden agendas...Huyu Bwana Mkubwa akija kustuka tayari wako mbali. Kwani Mrema ilikuwaje baada ya kuondoka CCM? Watu walikuwa wanasukuma gari kila pahali huku akiitwa Rais Rais but where did it end?

Alikuwa despaired, akaanza kupelekwa mahakamani, and guess what... hadi alipobend tena, sasa ana kaposition ka ubunge at least kumkeep alive kisiasa; but is a pro-CCM. Siamini kwamba ENL sio mwanaCCM kwa ghafla hivi kwani pia si wa kwanza kufanya haya....but tusubiri tuone.
 
heheheheheeh umeona eeee jamaa wamemtia kwenye crash sasa nimwendo wakumkamua mpaka maziwe yaishe aane kupiga mali zake bei na mwish kuwa na utajiri wa kaduchu chezea ccm wewe
 
Mrema na Lowasa ni watu wawili tofauti kama usiku na mchana.kama mnafikiria kumshinda lowasa kwa mbinu mlizozitumia kwa Mrema imekula kwenu.
 

Mkuu hayo ni mawazo yako tu. Lkn kumbuka siasa za kwetu hapa TZ, hata uende HAWAII haisaidia kwani siasa zetu hazina logic. Huwezi kupanga maana angalia yaliyotokea kwa hao uliowataja nk.
Hapa elewa yafuatayo:
1. EL ameumizwa sana ukiangalia alikuwa campaign manager wa MKULU
2. EL kukakataliwa bila kuwa na mkakati (refer. kwa wajumbe wa CC walichokieleza ndani ya kikao hicho)
3. EL ameishafanikiwa mapaka sasa kwa kiasi fulani kuwaonyesha hao wabaya wake kuwa nanyie mnaondoka na tope usoni kama si nguoni. Ni hii haian ubishi kabisa (Anagalia hali ya hewa nadani ya ex chama chake)
4. EL inawezakana asichaguliwe lkn historia itatakumbusha yaliyotokea ktk kipindi hiki (na hiyo ni plus kwake na ina mpuguzia maumivu)
5. EL kama ni kuendesha maisha yake ya baadae matanzo kama ya ex PM ataendelea kuyapata. Sasa amekosea wapi?
ANGALIZO:
Hao wengine walio onewa na kukaa kimya wanayo mengi ya moyoni na haya yanakula kila leo afya zao!
 

1995 ni tofauti na sasa huu ni mwaka 2015 miaka 20 imepita
mtoto aliyezaliwa 95 anapiga kura
acha mawazo mgando
 
well said!!! Huwa sichoki kuwashangaa hawa wanaoonyesha mapenzi yao kwa UKAWA/CHADEMA. hoja hujibiwa kwa hoja lakini daaah! sisi tunaopenda kupitia hizi nyuzi baadhi yetu tunashindwa kuwaelewa!!
 

well said!!! Huwa sichoki kuwashangaa hawa wanaoonyesha mapenzi yao kwa UKAWA/CHADEMA. hoja hujibiwa kwa hoja lakini daaah! sisi tunaopenda kupitia hizi nyuzi baadhi yetu tunashindwa kuwaelewa!!
 

Really?? Frankly I think is better to wait and see what will happen because only Gog knows the future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…