Lowassa hatukuwa rais kwasababu

Kweli maneno ya kuwekewa uyaseme ni mabayaaa yaani baasi tu. Ati ni mgonjwa hatakuwa na nafasi ya kukaa ofisini aongoze. Christofa Kolumbus amekaa siku ngapi ofisini muda wote wa vipindi viwili?? Jamani, tafuteni sababu za kumkataa Lowasa sio vijimambo. Ati ni mgonjwa; jiulize, ameanguka mara ngapi jukwaani?? Amelazwa mara ngapi tangu aanze mtanange huu wa kampeini?? Mlisema hamalizi mikoa 2 sasa bado siku chache na amezunguka kiila mkoa na wilaya ni nyingi tuu amefika. Cheap politics za Lumumba sidhani ka zitawabadili Watz walioichoka CCM.
Jikiteni kwa yale mliofanya miaka yoote 54 msijikite kwenye matusi ya kumtukana Lowasa kwani mkimtukana mnawatukana 85% ya Wapenda mabadiliko.
Hakuna mwingine kuingia Ikulu bali ni LOWASA . Mnaoamini atalipiza visasi mnalo mlomtenda. Miye mbona sina hofu?? 85% ya Watanzania mbona hawana hofu?? Nyiye mliobaki ambao ni chini ya 5% ya Watanzania, hameni tuu mhamie mnakoweka vijisenti vyenu mkale mfie huko. Tanzania itajengwa na wenye mapenzi ya kweli nayo.
Kataa au kubali lakini TUNAJUA TUNACHOKITAKA KWA SASA NACHO NI LOWASA
 
That's according to you. To me its BIG YES!!! And there is nothing, absolutely nothing you can do about it.
Tarehe 1/11 itakuwa J/pili. Nitakutafuta kwa breakfast ya mtori na kukupongeza kwa ushindi.
 

Kumtukana,kumdharau,kumdhihaki na kumsingizia uongo Lowassa ni marashi kwa malofa,wapumbavu na mbumbumbu,naona wazi mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe,wakati unakuja ambapo mtajifinya halafu mtaishia kulia wenyewe!!!Magufuli ni King’amuzi, rimoti anayo Kikwete, Magufuli ni kufuli,funguo anazo LOWASSA!!..Chagua Lowassa ANATOSHA!!..Chagua UKAWA, Maisha yenye uhakika!!!
 
Mleta Mada Utakuwa Na Ugonjwa Wa Akili Ww Si Bure!
 
Afurahi sana nikiona jina la Lowasa mahali keep shine EDO
 
1. Ana tuhuma za UFISADI.
2. Afya si nzuri
3. HAMAANISHI ASEMACHO/ Kigeugeu/ ndumila kuwili.
4. Sio muadilifu.
5. Anataka kununua urais.
6. Sio mchapa kazi.
7. ............
8. ..............
9. ...............
10. nk

Rais Lowasa
 
kama mgonjwa aez ongoza bac ata anae ongoza sas angekua kesha achia madaraka zamaaan,,
 
Lowassa atatupanua kwa mbinu na mikakati ya kuwa tajiri kama yeye

Nimemsikia leo kasema ambaye ana gari1 atapata la pili asiye na gari atapata gari akiingia lowasa kilamtu atakuwa tajiri kutakuwa hakuna maskini tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…