Lowassa hasafishiki

akijibu atajikoroga zaidi anaachia mashabiki fata mkumbo wazidi kumshabikia.
 
ALIYETUUZIA NYUMBA ZA VIONGOZI NA KUTUNUNULISHA MV DARESALLAM MBOVU NDIYE ANASAFISHIKA???
ii au

mna komaa na huo 'ufisadi' mmoja ambao nao huenda ni uzembe uliofanyika na watu chini yake na hatua zitachukuliwa. huneda yeye hata kumi haku ila.

ukipangiwa orodha ya ufisadi wa huyo jamaa yenu unaweza hata kujisikia kichefuchefu kama kweli wewe una uchungu na nchi hii
 
kujaribu kumsafisha jamaa ni sawa na kujaribu kusafisha udongo kwa maji

impossible. haiwezekani.
 

Labda ulikuwa nje ya nchi!Umati wote unaouona kwenye mikutano ya Ukawa ni baada ya kuielewa vizuri issue ya Richmond!Hakuna jinsi unaweza fanya kuwabadilisha tena kama kunaposho inatoka kwa ajili ya kazi hiyo wewe itafune tu!
 

Wewe ndiye unayesafishika?
 
Lowasa kachoka hawezi kushinda popote pale kuanzia mwili mpaka akili anatawaliwa na ufisadi wa wazi kabisa mzee mwizi sana.

Mwizi ni mzazi wako ngiri we
 
Hao unaowataka wameanza kununuana hata kabla hawajafika Ikulu, wakifika Ikulu si ndo watakuwa fundi mchundo? Lakini pia ni bora tukawa na wale wenye kujua kulinda amani kuliko wakutuletea vita asubuhi

Hizo akili za miaka 49,sasa hivi ni mabadiliko tuu kawaulize KANU,UPC watakupa ushauri na mwaka huu lazima ccm mpigwe chini
 
Mleta mada na wachangia mada mliomsapoti ni vema mkaacha ushabiki,kana kwamba mnaishi sayari ingine.Hivi kipi kikubwa na cha ajabu kumshambulia mtu ikiwa nukuu iliyowekwa hapa iko wazi,NANUKUU
Kamati teule ya bunge, katika uchunguzi wake wa kashfa hii, pamoja na kutaja wahusika wote na kutaka wawajibishwe, ilimwacha waziri mkuu "kuchukua uamuzi" anaoona unafaa. Lowassa alijiuluzu.Jiulize kwa nini kamati teule ilimwacha waziri mkuu?Jibu ni rahisi sana,haikuonekana kosa linalomuhusu moja kwa moja.Na ndio maana kamati ilishindwa hata kumuita na kumuhoji.Pamoja na hayo,Mh.Lowassa akaamua kujiuzuru,ni ujasiri wa hali ya juu sana.Je,mlitaka agome kama walivyofanya wengine wengi tu?Swali,ikiwa Lowassa ndio mwizi na fisadi kuliko wote katka nchi hii,mbona ile mitambo mpaka leo ipo na pesa zinaendelea kulipwa?Ni nani anaelipwa au ni Lowassa?Ni takribani miaka nane sasa,sheria ziko wapi?Acheni ushabiki usio na maana,ni vema tukajadili mambo ya msingi Kitaifa.Inashangaza sana kuona hata viongozi wasomi na wakubwa ktk nchi hii,wamekazana kuupotosha umma,wanaacha kutumia taaluma,elimu na uwezo mkubwa waliojaaliwa na MUNGU,kuleta majawabu ya nini kifanyike ili kuondokana na kero za nchi hii,wanatuletea propaganda za funika kombe mwanaharamu apite,pasipo kujali Watanzania kesho wataamkaje.Kuna mangapi tena makubwa kuliko Richmond tena mengi tu,mbona hatuyazungumzi?Nini msimamo wangu:-Ningalikuwa ninayo maamuzi ya mwisho,mwaka huu ningeshauri kuwe na mfumo wa serikali kama MAREKANI,kisiwe chama kimoja kinaongoza kuanzia Rais,ubunge,udiwani mpaka serikali za mitaa,Badala yake kuwe na balance itakayoondosha kujisahau na kujinufaisha watu wachache na kuwaacha wengi wakitaabika.Jamani nchi hii ni yetu sote tuache ubinafsi,mwisho wa siku litakuwa bomu,na kilio hata asipatikane mtu wa kufuta machozi.Mwl Nyerere alisema!
 

True dat
 
Mbona shule za kata anadai alijenga yeye na amumuulizi hayo maswali badala yake mnabaki tu mnasema ndio mzee?
Mbona mgumu kuelewa wewe kiumbe!!? hizo shule za kata ni wazo lake au kwa mantiki nyingine ni maono yake (ndio maana viongozi bila maono taifa huangamia) sema tu ccm ikageuza wazo hilo au maono hayo kama sera na kwa upande mwingine ni sehemu ya kula kodi zetu!
 
Wa-TZ, hivi, mnamkumbuka Kamlesh Pattni wa Goldenberg kule Kenya? Sasa hivi ni mchungaji anaitwa Paul, na maajabu, kanisa lake linafurika. Kwa hiyo ni kweli kuwa kwa Mungu hakuna lisilowezekana! ambaye hawezi kupata msamaha ni IBILISI peke yake asema Bwana.... kumtenganisha Lowassa na IKULU nisawa na kutenganisha Ngoza na Damu....Haiwezekani, mmechelewa tafuteni lugha zingine, pia hamtafanikiwa huyu ni mteule.
 
We uonavyo ccm inasafishika akili za kushikiwa hizi ni taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…