Lowassa hana sifa ya Urais

Ungekuwa darasani ungeshasapu haraka sana.
Kajipange urudi tena.
 
baba na mwana hapo,kwani nini cha ajabu umeona hapo
 
du!. kumbe jamaa mzima kabisaa. kura yangu kwake ili awadinye magambaz kisawasawa.
 
Hatudanganyikiiiiiiii..........................aibu yako
 
huyo nahisi ndio yule mwanaye anayefanyia WHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…