Lowassa hana huruma tena na CCM


hii mingine ipo tu hata haielewi kinachoendelea.
 


.
Mwaka huu ni uchaguzi kati ya mgombea wa wananchi(Lowasa ) na mgombea wa watawala (Magufuli ) ili wakalale usingizi na kula walivyotuibia.

Wananchi wanyonge tumkatae Magufuli kwani yupo kwa ajili ya wachache wanaotaka kulala baada ya kutudhulumu kwa muda mrefu.

Mfumo hautamruhusu magufuli kuwadhibiti mawaziri wanaofanya mikataba ya siri na kunyakulia 10% zinazowasaidia kupiga kampeni na kuyapendelea majimbo yao.
Ni mfumo wa kukusanya mabilioni ya kampeni kama zile za EPA .
Magufuli hatajitenga na Manunuzi ya feri mbovu kwani ndipo zinapopatikana pesa za kampeni. Ndio maana kila waziri ndani ya ccm alijianaa kugombea Urais huku wakimwaga mabilioni kwenye majimbo yao ili wapate ubunge.
Ufisadi hautaisha kama ubunge hautatenganishwa na uwaziri.
 

Kwa hali hiyo hizo pesa alizoiba alikuwa kazitunza kwa ajili ya watz? kasema alitunza ngapi? hiyo ni akili ya samaki, tena ww ni ndina kwelikweli, lakini pia si kosa lako kwani ni kosa la mazingira ulokulia!
 

Ndio maana tunahitaji Umoja wa Katiba ya Wananchi maarufu kama UKAWA si kingine chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…