Lowassa haepukiki ndani ya CCM

Lowassa haepukiki ndani ya CCM

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wadau!!
Mpaka jioni ninapo andika uzi niseme kwa ufupi nimekuwa nikishuhudia mpambano unaendelea ndani ya chama cha mapinduzi ccm dhidi ya lowassa lakin mpaka sasa sioni wala sitegemei kama kuna upenyo ccm watapenya kumuepuka mh Lowassa.
Ni karibu miaka kumi sasa tokea lowassa alipojiuzulu lakin amekuwa kimya muda mwingi akipanga mikakati yake kwa umakini mkubwa bila kupiga kelele kama anavyofnya mzee wa kimyakimya,itakumbukwa ni hiv majuzi tu alichoma kodi zetu akaenda mpaka BBCshirika la habar la uingereza kutangaza nia yake ya kugombea nafasi ya kuingia magogoni.
Ukimya wa lowasaa umezidi kuwaumiza mahasimu wake kisiasa na kukosa ni namna gani watamshughulikia ili tu hakikisha wanampunguza nguvu mapema kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwakani,lakini Mungu si athumani lowassa amekuwa akikata mbuga kila panakucha na kuwatimuliwa vumbi mahasimu wake,Tanzania nzima sasa kila unapopita jina la lowassa limekuwa likitajwa kila pembe ya nchi huku wakiamini ndio mkombozi aliyesalia ndani na nje ya ccm.
N hivi majuzi tu makundi tofauti ya kijamii yamekuwa yakitoa maoni yao tofauti huku wengi wakisema jembe lilio bakia na litakalotutoa hapa tulipo tulipokwama si mwingine bali ni lowassa peke yake
Itakumbukwa ni majuzi tena rais mstaafu Mkapa alivyotoka hadharani na kutamka wazi hakuna mtu mwingine atakayeweza kyfnya maamuzi magumu zaid ya lowassa,mh mkapa alikiri kabsa kuwa kuwa mwenyekiti wa chama siyo kigezo cha kumpa uhalali wa kuchaguwa mtu anayemtaka bali wajumbe wa kikao ndio wenye mamlaka ya kuchaguea mtu wanayeona atatuvusha na kutukwamuwa hapa tulipo nasa
 
Mkuu tafadhari usituchulie tuishi kwa adabu tafadhari tunaharibiana jioni zetu mkuu.
 
Shida yako ni yale matumizi ya ugoro ulioambiwa uepukane nayo ndio yanakusumbuwa,punguza ugoro kaka
Utakuwa na umeachika kwa mume siyo sili hivi Lowasa ndiyo mtu wa kukaa na kuhangaika kumnadi mtu mabaye kwa sasa hata sahani ya chakula hawezi kushika huu ni ujinga sasa hata kama kawanunua mnazidisha sasa kuweni na aibu hata kidogo.
 
Kama unafikir lowassa hawez kushika kitu mkononi mpelekee mkeo uone atakachomfanya!
 
Tatizo LA Simiyu yetu tangu alambishwe uchafu ule ugoro na fedha za laana za Gadafi na Joka LA Mdimu amex hang any I miss na kuanza kumuota Lowassa ambaye mpaka Helikopta takatifu anaoperate. Uliona aliposhangiliwa pale Tanzania packers , uwanja ulizizima, shangwe na nderemo zilitawala Lowassa akaingia kama Maja Generali na walinzi waliojawa na roho Wa Mungu.
 
Team Lowasa mkifanikiwa kwa karata mliotupa "BRING BACK OUR MONEY" mtakua 100 steps ahead Membe+ pinda ,, kuelekea magogoni
 
Tatizo LA Simiyu yetu tangu alambishwe uchafu ule ugoro na fedha za laana za Gadafi na Joka LA Mdimu amex hang any I miss na kuanza kumuota Lowassa ambaye mpaka Helikopta takatifu anaoperate. Uliona aliposhangiliwa pale Tanzania packers , uwanja ulizizima, shangwe na nderemo zilitawala Lowassa akaingia kama Maja Generali na walinzi waliojawa na roho Wa Mungu.

Mkuu huyo simiyu ni janga,tumbo ndio linalomuongoza,nilitegemea angetumia hata akili kidogo
 
Utakuwa na umeachika kwa mume siyo sili hivi Lowasa ndiyo mtu wa kukaa na kuhangaika kumnadi mtu mabaye kwa sasa hata sahani ya chakula hawezi kushika huu ni ujinga sasa hata kama kawanunua mnazidisha sasa kuweni na aibu hata kidogo.

Ungekuwa mke wangu hakika ningekuwa nakunanihii..........kila baada ya nusu saa maana una mdomo!!!!!!
 
Ndugu yangu ukitaka Simiyu atoke mapovu mekundu mdomoni mwambie nafasi ya El
 
Attachments

  • ujangili.jpg
    ujangili.jpg
    33.2 KB · Views: 221
Wakati tunawaza hali taabani za hospitali zetu wewe unatuletea porojo za Lowasa,kila siku Lowasa oh lowasa oh lowasa huu wimbo umetuchosha hebu tufikirie mambo muhimu hizo, 7000 zinawafanya mshindwe kuwaza mengine ya muhimu,ni aibu mijitu mizima kubishania mambo binafsi ya mtu binafsi,mtatoana roho buree .
 
Utakuwa na umeachika kwa mume siyo sili hivi Lowasa ndiyo mtu wa kukaa na kuhangaika kumnadi mtu mabaye kwa sasa hata sahani ya chakula hawezi kushika huu ni ujinga sasa hata kama kawanunua mnazidisha sasa kuweni na aibu hata kidogo.

Na wewe kijiko unaweza kushika? Maana unamsema mtu alie mzima wakati wewe uko wodini.
 
Mi binafsi nlikua na mawazoo na akili kama yakoo na nlikuaa namkubalii sana huyo bwana ilaa hastahilii hta kidogoo......najuaa kanyaboa yake ya kujifanyishaa kuwa karibu na wananchi ndo inayokudanganyaa ila hata ww nadhani hata ww jiangaliee kwani kila unayemwambiaga unampendaa unamaanishaa?? Wengine c unataka papuchii tu?? hakikaaa hatapataaa hata nafasi ya kugombania uraisii kwa kupitia ccm labda aende chadema na c dhanii kama ccm itakuaaa wapuuzi kiasi ganii mpaka wampe huyoo nafasi ya kugombania uraisii.na kama akipitaa huyoo boraa na ccm yenyewe ivunjwe maana watakuaa hawana maana..kusoma mtuu usijueee basii hata pichaa kuangaliaa?????
 
Wakati tunawaza hali taabani za hospitali zetu wewe unatuletea porojo za Lowasa,kila siku Lowasa oh lowasa oh lowasa huu wimbo umetuchosha hebu tufikirie mambo muhimu hizo, 7000 zinawafanya mshindwe kuwaza mengine ya muhimu,ni aibu mijitu mizima kubishania mambo binafsi ya mtu binafsi,mtatoana roho buree .

Basha wako akuchoshe nasisi tukuchoshe??si kweli,hizo ni dalili za kuzaaa jitahid uwahi leba
 
Back
Top Bottom