Lowassa for CHADEMA, mpokeeni


Akienda, watamchukua tuu, kwani yeye sio mtanzania.
Ila atafuata taratibu zao, kama issue ya richmond itakuwa haijakamilika,
sababu inajulikana kwamba na yeye alikuwa ni kiungo, atalazimika kusema kweli,
maisha yanaendelea
 
Alienda Nigeria kusafishwa eti kwa kuwa rais wa Ghana alienda huko akapata Urais ila sijuhi kama EL ametakasika.
 
Hivi hata kama ni FISADI, akija kanisani kuungama madhambi yake mtamkataa?
Acha unafiki. Wamekwambia CHADEMA wanahubiri Injili. Mbona hamuwataji akina Mwakyembe Tunaodhani ni wasafi ktk ccm?
 
kweli cdm ni wapumbavu ss hv mnataka lowasa fisadi ilihali nyie mnapinga ufisadi.tatizo lenu cdm nyie ni ma opportunist hilo ndo linalowasumbua na nawaambia watanzania hawatokaa waiweke cdm madarakani labda wote tuwe wendawazimu km nyie.
We mkali, acha ujinga! Kwa akili zako unajua aliyetoa mada ni mchadema! Lazima uelewe unafiki wa paka mchafu. Anajaribu kuipamba Cdm kiunafiki. Mbona hajawasema kina 6? Mtoa mada ni Magamba ka' wewe.
 
Hivi hata kama ni FISADI, akija kanisani kuungama madhambi yake mtamkataa?
Acha unafiki. Wamekwambia CHADEMA wanahubiri Injili. Mbona hamuwataji akina Mwakyembe Tunaodhani ni wasafi ktk ccm?
 
chuma hukunjwa kingali cha moto..kikishapoa hakikunjiki tena kwa urahisi.
Ni nahau tuu..lakini nadhani ina maana yake
 
Hatoki ccm huyo kwa sb maovu alofanya walishirikiana wengi,hawawezi kumtoa sadaka,ikibidi kuondoka atafufua ccj
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…