IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,738
- 7,085
Teh teh teh teh some times in the world you are forced to belives things that have happened and you thought they wil never happen.
kauli ya mbowe ya kusema ni upuuzi kumjudge mtu bila ushahidi ni funzo linabaki kuwa funzo kwa chadema wote kuwa maneno ya kisiasa lazima ya ambatane na ushahidi, chadema sio malaika kwamba hawakosei dk slaa si malaika eti kila alisemalo ni zuri,kwenye siasa vitu hivi vipo.wakati wa sakata la escrow mwigulu nchemba alikua kifua mbele kupinga na kuomba takukuru iwahoji na kuwapeleka mahakamani wote waliokwepa kulipa kodi na waliohusika na rushwa katika sakata hilo,jana mwigulu huyo huyo anakuja kuhojiwa na takukuru hyo hyo kwa sababu zile zile za rushwa,nani alijua fidel castro atakuja kushikana mkono na obama,kama umemsikiliza mbowe kwa makini jana utaelewa kuwa there z no gamble thing there.Tuhuma za ufisadi kwa lowassa tuwaachie cdm wenyewe.swali kwa n.n ccm wampigie cm mbowe? ni kwa 7bu wanajua movie itaisha.