Huyu mtu sitaki tena kumjadili maana napoteza muda wangu bure kumjadili mjinga ambae hata kama atapitishwa kwa upande wangu bado ataendelea kuwa hopeless tu.
Ishu ya Richmond ni tata yapata miaka 7 sasa hakuna mwenye majibu sahihi.Wanasiasa wengi wamekuwa ni wenye visasi na wivu kwa wengine.Hivyo basi Lowasa ni mtu aliyepakaziwa maneno na wahusika wapo na tunawafahamu.Ebu angalia ishi ya ESCROW waziri wa nishati eti hajahusika mara katibu mkuu hahusiki mara benki kuu haiusiki mara oohh waziri mkuu hahusik mara mkulu fedha sio za umma.Tumwamini nani sasa???
Lowassa ni mtu wa kujiamini!Anajiamini sana kuhusu sakata la Richard wa monduli.Msimamo wake ni tishio kwenye chama & ameonekana kuungwa mkono na wengine kwa sababu sakata la richard wa moduli
hiyo bilioni ya maandazi mbona mi sikupata mgao? Natamani nimchangie kidogo ninachopata ili atimize ahadi yake ya kunikomboa toka hili lindi la umaskini kwani angalau kwa kauli yake umaski wa WTZ unamkera na anauchukia
Ukimfanyia hivyo mwalimu wako wa darasa na ungali darasani mwake ni dhahili kuwa mafaniko yako kielimu yatakuwa mashakani; na hivyo hivyo kwa Lowassa, njia yake ya kupata mafanikio imejaa miba mingi!! Yetu macho na masikio muda si mrefu tutasikia na kuona!
Ishu ya Richmond ni tata yapata miaka 7 sasa hakuna mwenye majibu sahihi.Wanasiasa wengi wamekuwa ni wenye visasi na wivu kwa wengine.Hivyo basi Lowasa ni mtu aliyepakaziwa maneno na wahusika wapo na tunawafahamu.Ebu angalia ishi ya ESCROW waziri wa nishati eti hajahusika mara katibu mkuu hahusiki mara benki kuu haiusiki mara oohh waziri mkuu hahusik mara mkulu fedha sio za umma.Tumwamini nani sasa???
Hii issue inamhusu bwana mkubwa moja kwa moja na hilo linajulikana so ENL alifanya kulinda maslah ya chama na taifa la sivyo Tanzania pangechimbika ccm inajua kabisa jinsi gan ENL hausiki ktk hilo sakata kilichompoza Edo ni uwaziri mkuu
Hana jipya yeye pamoja na washauri na ma-fans wake wote. Meneja wake wa kampeni nasjikia ni Rostitamu la azizi ambaya ndiye aliyeipokea richwamonduli na kuigeuza dowa-ns kutuzuga. Na alijiuzulu ubunge kama el alivyojiuzulu u-PM ili wajipange wakiwa nje ya serikali. Naliona giza kwa EL bora aachane na biashara ya urais. Ni ushauri tu.
Atazungumziaje richmnd leo ikiwa imepita miaka 7: kwanini asingeongea toka 2008/9 akajisafisha mapema? Hilo suala aliache kama escrow inavyopotea akilini mwa wanadam wa tanzania kauli yetu ; TUGANGE YAJAYA,:
kuupanga uongo kuwa ukweli ni kazi mbaya zaidi haongei na familia yake ambayo ingekuwa inakaakimya kusikiliza uongo wa baba we unafikili wananchi wangelizi ka kusikiliza uongo?