Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020