Lowassa azizima Mwanza

Lowassa oyeee👏👏👏👏,✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Kama barabara za Mwanza zilipigwa deki kwa ajili yake, unategemea MAHABA gani kwa wafuasi wake wakimuona anatoka hotelini? Mwenye chongo huitwa kengeza!
 
unaumwa ww?




HUKU MWANZA...HAKUNA HOMA YA LOWASSA.... KAMA KAWAIDA...SAMPULI YA WAFUASI WAKE NI WALE WALE WA KAWAIDA KUNA GROUP LA BODA BODA ( wa mafuta full tank) , WAFANYABIASHARA WA KICHAGA, WAJALUO NA WASHASHI WACHACHE AMBAO NI WAFUASI WA WENJE......TENA LEO WALIKUWA WANAIMBA KIJALUO.....NENO MABADILIKO....

MWANZA HAPA KAZI TU......WAFUASI WA CHADEMA ASILI WAMEIBATIZA...... M4C (MAGUFULI 4 CHANGE)....
 

We huko masanza yenu napo utasema mwanza!!
 
Tutamchagua lowassa ili dunia itambue kuwa ccm siyo wamiliki wa nchi hii
 
Ee Mungu ni mimi nisiechoka kuomba utusaidie kuiondoa ccm,wote semeni ....
 
Magufuli soon atajiunga UKAWA...

Magufuli amshukuru Lowassa sana, maana kama sio Lowassa wala CCM isingempitisha KUWA MGOMBEA URAIS...

So Magufuli is BYPRODUCT YA LOWASSA...
 
Jamani Ebu Msieauwe CCM,No Ndg Zetu Ni Tamaa tu Iliwaponza Na Kufikuria Matumbo yao badala ya watanzania Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…