Lowassa aweka mambo hadharani: Nitatoa uamuzi


May be one thing which you might not be aware is that Lowassa, with all his maturity in politics, has been 'made' by RA
 

Lowasa, "a reputable leader?" Wow that is something....he will never contend for 2015 elections....he has tainted his image long time ago and we know...wananchi sio wajinga kumfanya Lowasa kuwa Rais wao...bora nchi itawaliwe ....remained to be said to save my skin from ban
 
Mtu mzima kamwe hatishiwi nyau...., sioni dalili wala hofu machoni pake na kwa dhati namuona huyu ni tofauti na oscar salathiel kambona.

Tusubiri tuone.
 
Futa kauli mkuu kwasababu umemtukana mpaka Rais wa hii nchi
nchi hii ina rais??jk alisema mimba wanazopata wanafunzi ni kwa sababu ya kiherehere chao...afute kauli yake...gamba wewe huna kumbukumbu
 
kwani Lowassa sialishajiuzuru nyie mnataka ajiuzuru mara ngapi?
 
Natamani sana kusikia akisema kile ambacho akina Mwakyembe walikificha kwa kogopa serikali yote kuanguka.
 
zaidi ya habari ya richmond kwani lowasa ana jambo gani baya alilowafanyia watanzania, isije ikawa tunakurupuka tu kama kuku aliyekatwa kichwa!!

Kwahiyo hilo swala la richmond ni dogo sana ,mpaka afanye jingine ndo atakuwa amekosea sio?...kweli wewe ndo unaakili ya kuku.nyie ndo vijana mnaoangusha taifa hili t shirt na nyimbo za komba mnauza utu na kura zenu.pamoja na future za vizazi vyenu.
 
hilo nalo ni neno maana kuna zaidi ya hayo tuyajuayo, kumbuka alisema bungeni wakati akijiuzulu kuwa yeye ni kondoo wa kafara naamini yeye kambebea mzigo mkuu wa kaya...tutasikia mengi...
zaidi ya habari ya richmond kwani lowasa ana jambo gani baya alilowafanyia watanzania, isije ikawa tunakurupuka tu kama kuku aliyekatwa kichwa!!
 
Natamani sana kusikia akisema kile ambacho akina Mwakyembe walikificha kwa kogopa serikali yote kuanguka.

hichi ndio haswaaaa ninachosubiria nijue alimbebea nani mzigo adi ajiite kondoo wa kafaraaaa mkuu wa kaya ana kazi sana...
 
Hana cha kutueleza nasema hv akgombea urais kura yangu nitampgia bora hata nimpe pita kuga mzirayi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…