Lowassa awaharibia CCM Tabora

Lowassa awaharibia CCM Tabora

Mimi nasubiri kuona leo Nzega kwa bashe hari itakuwaje?
 
Ngome ya ccm ipo TABORA kama imevunjwa...... Baaaas hakuna kila kitu....
 
Bashe ana wakati mgumu sana.ni kijana wa Lowasa then yuko upande wa pili.hapo mziki
 
Tumeona

11960250_732256466907735_1327958840934794751_n.jpg


Na hivi

11781645_732256746907707_956226677967788097_n.jpg


Na hivi

11988655_732256783574370_3238527233188569569_n.jpg
 
Namuomba mungu niuone hatima ya uchaguz wa mwaka huu,
KUNA KILA DALILI YA mmoja wao kuomba poo!.
TUTAHESHIMIANA TU.
 
Hayo ndio mabadiliko tunayotaka , ya kutoa bulb zilizoungua na kuweka mpya. Honorable Tabora, najua ninyi mtafanya kweli 25 October
 
Watu wa tabora sio wajinga, wameona upepo unavyoenda wamekua wajanja, hawataki kuja kuaibika.
 
Ccm oyeeee hizo picha za kuchanga kila siku tunaziona ccm mbeleee. mbele
 
Mpiga mpicha wa ukawa mzuri sana amesomeya vizuri uchaguzi ikimalizika najua utakuja ccm kutaka kazi
 
Back
Top Bottom