Lowassa awageuka tena Polisi

Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Hivi jamaii forum haina jukwaa la watoto wanaojifunza siasa?
 
Hapo nimeelewa maana mi alipoongea kauli hiyo nilikua najiuliza maswali sana mzee wetu anamaanisha nini na kauli ingine alisema ukitaka kuoa hata wake watatu itakua rahisi sana
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?
Mi ni si mwanachama wa chama chama chochote ila nafikir kuboresha ni haki yake na wajibu wake kama kiongoz na kuwapeleka icc wavunja sheria pia ni wajibu wake kama kiongozi. Nina wasi wasi na uelewa wako.
 
Acha uvivu Wa kuchambua mambo, kwa hiyo ulitaka awapongeze. Sijaelewa kwani mtu akimtendea mwingine isivyo anapongezwa et ehh. Tafakari chukua hatua.
 
wewe ndiye unatatizo la kuconnect dots and sentences...nini kilipelekea akasema habari za ICC? mbona hilo husemi?
 
Mi ni si mwanachama wa chama chama chochote ila nafikir kuboresha ni haki yake na wajibu wake kama kiongoz na kuwapeleka icc wavunja sheria pia ni wajibu wake kama kiongozi. Nina wasi wasi na uelewa wako.

Huna lolote we ni chadema tu! Hata mimi nina wasiwasi na uelewa wako.
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Kuboresha maisha ya Police Na makosa ya Police kwa Raia Ni vitu 2 tofauti, hata kwa akili yako ndogo umeshindwa kutofautisha Hilo?
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya Polisi. Leo Jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita ICC kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda.

Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Wewe ndiyo umepoteza kumbukumbu. Hakusema kuwa atawaboreshea maslahi kwa kutenda uhalifu. Jaribu kukumbuka
 
UKAWA wewe
 
Kuboresha maisha ya Police Na makosa ya Police kwa Raia Ni vitu 2 tofauti, hata kwa akili yako ndogo umeshindwa kutofautisha Hilo?

Police hawawezi kumkamata bodaboda bila kosa, na laiti ungekuwa mkweli, hakuna watu wanaovunja sheria za barabara kama bodaboda!
 
Acha uvivu Wa kuchambua mambo, kwa hiyo ulitaka awapongeze. Sijaelewa kwani mtu akimtendea mwingine isivyo anapongezwa et ehh. Tafakari chukua hatua.

Ukawa wengi hamjuia hata kwa nini mnampenda Lowasa, kwa hiyo mnaweza kubishana mpaka asubuhi bila hoja za msingi. Mkapimwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…