Lowassa atinga Muhimbili kumjulia hali Ester Bulaya

Pole Kamanda Bulaya.

Lowassa hongera na Soldier on, 2020 is your turn.
 
Badala ya kusifiwa kwa Uzalendo anakamatwa ....................!!

Mbona yule wa CCM aliyeenda kutoa msaada jimboni kwa Lissu hakukamatwa!!?
 
Kwa hali hii kutiana moyo ni jambo jema,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakamatwa kwa kukiuka tamko la rais - masikini polisi wetu na viwango vyao vya elimu 😵
 
Yaani unaalikwa n.a. mbunge mwenzio jimboni kwake unatoa mvhango mifuko 50 cement kesi
Have maDC ni wazima kweli
 
Bwana Lowassa asante kumjulia hali Mtanzanua mwenzi wetu, Mola amjaalie. Kuna swali dogo: mmoja wa wasaidizi wako Bw. Tundulissu anahamasisha nchi rafiki zituzuie misaada zitunyime dawa na zitususie kila kitu.

Dada Esta Bulaya akikosa dawa utajidikuaje? Nasikia kuna consignment ya madawa ya Muhimbili na Bugando yanatoka Canada lakini msaidizi wako Tundulissu abatanyemelea ili ajue yaki meli gani inakuja lini ili atoe siri kwa wanaotudai majenikia wa Barrick waliokuwa wanatuibia.

Je, Ndugu Esta Bulaya akiathirika na usaliti huo wa kutoa siri za nchi, atalaumiwa nani? Tafadhali Baba waksnye vijana wako wakubali kushindwa kama Raila slivyoshindwa kule Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaite viongozi wa dini majina ya namna mbaya, na wewe utake usitake watamuombea tu, hutaki lia.
 



hahahaha kwa mara ya kwanza kakake umekasirika !haaha naona povu
 
Si upinzani huwa unasema hakuna huduma bora ktk hospitali za Tz ? Iweje leo tena wanajisomba Muhimbili? Au Muhimbili ni Ulaya baada ya Jpm kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just so you know, this is why people are becoming so hateful these days. You preach hate, you reap hate. Acheni kulalamika mambo ya uzalendo kila siku. Uzalendo hauletwi kwa kufanya mambo shameful namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…