Lowassa na kamati yake leo wamewatembelea waathirika wa mabomu ya Goms. Amesikitishwa na baadhi ya hospitali kutoshiriki kutoa msaada na pia amesifia weledi na utendaji wa JWTZ.
Only CRIMINAL have Power in Tanzania, angalia kama criminal Kikwete, criminal Lowassa na ma-Criminal wengine wanamuaandaaa CRIMINAL LOWASSA Kuja kumalizia alipoa achia Kazi yake ya Kuiba kodi na Kuingia Mikataba feki
Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo
Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo
aaah mkuu, inategemea bwana. Sasa huyo bwanamkubwa kaenda kuwaona macho matupu hajawaachia chochote wakati uwezo anao na watu wapo kwenye hali mbaya. Ameenda kuuza sura atoke kwenye media au!