Lowassa apotezwa

Kila Lowassa anapofanya mkutano, wanaohudhulia 45% wataludi na kumpa magufuli. Technically Lowassa kesha ipoteza Kanda ya ziwa ambako Kuna zaidi ya milioni 5 ya wapiga kura

Nimeipenda tathmini yako..! Ni kweli, ukihudhuria mkutano wa lowasa bila bias, utaondoka umekuwa biased kwa Magufuli.
UKAWA wao halijui hilo, wanaimba mafuriko wakati kiangazi kinaanza.
 
Watanzania ukiwaambia matokeo ya utafiti hawakubali .....ukiwaambia mnajimu ametabiri wanaamini
 

Rudia tena kwa msisitizo hapo kwenye ugonjwa! Amin amin nakuambia utakufa wewe kwanza kabla ya Lowassa, ndugu zako watashuhudia haya na watapost huu uzi kuushuhudia ulimwengu.
 
nitaamini wa Tz ni MATAHILA kama wataipigia kura CCM baada ya kutusababishia umasikini ulio kithiri.

Wanaopigia ccm si mataahira, nadhani jitathimini ww, na utagundua kuwa wewe ndo taahira wa kwanza, ni ujinga mkubwa kuchagua watu ambao wanamigogoro mikubwa UKAWA, utawaamini vipi kuwapa nchi? saizi yao tutawapatia ubunge na si Urais, haya yanayotokea tunayaona vizuri, ccm baada ya uchaguzi wamekuwa wamoja lakini ndani ya UKAWA ndo misuguano inazidi na bado siku27-hatuwezi kufanya hilo.
 
Kiingereza hujui utaweza kuangalia midaharo ya USA?
Midaharo mingi ya USA huwa wangombea wanajibu na kujieleza wamekaa sasa wewe unataka kutuongopea

Mgombea urais wa marekani hawezi kukimbia midahalo ya marekani kwenda kuongelea aljazeera akategemea kupata kura,Marekani. Ktk nchi hii ndio nashangaa wazo kama hili linatolewa. naanza kuamini sasa mgombea wa ukawa ni msanii na kuna hatari ya kushabikia mtu laghai sana.
 
Ugonjwa ni mambo ya Mwenyezi Mungu. Hakuna siasa inayosababisha Ugonjwa. Kama kweli Lowassa ni Mgonjwa aombewe kheri kwa Mungu.

Asante kwa uwezo wako mkubwa wa kufikiri!
Wengi wanaomjadili Lowassa kwa kigezo cha afya yake iliyo Kudura ya Mungu huenda wakatangulia kufa kabla ya Lowassa!
Lkn nawaombea watokwe na hilo pepo la wivu kwa mafanikio na uwezo aliojaaliwa Lowassa.
 
Nahitaji mabadiliko... Lakini sio mabadiliko ya kuletwa na UKAWA ya Ngoyai Lowasa
 
Maguful kashinda kwa kishindo, lowasa akaataa matokeo kama alvokaataa dodoma hahaha
 
Rudia tena kwa msisitizo hapo kwenye ugonjwa! Amin amin nakuambia utakufa wewe kwanza kabla ya Lowassa, ndugu zako watashuhudia haya na watapost huu uzi kuushuhudia ulimwengu.

Kufa mbona sisi tunatembea na kifo? Unamtishia kufa Muislam? Sisi tunakipenda kifo kama wewe unavyopenda kuishi.

Mgonjwa anaejinyea hadharani hatumchagui, kufa na ugonjwa ni vitu viwili tofauti.
 
Huwa namheshimu sana FaizaFoxy, ila hiyo comment yako ya kumtusi mgombea hata kama simsapoti, duh haikufaa kutumwa na wewe ambaye huwa comments zako
 

Na bado Lowassa na Sumaye wakachukuwa fomu za Urais kupitia CCM na kushiriki mchakato kikamilifu!
 
TADIP sio taasisi huru maana ipo under chadema so ni vigumu sana kuuamini utafiti wake na mbaya zaid wameenda kariakoo kwa wabeba mizigo tu then wakawahoji huku wakiwa wamewapa viroba hivyo in any case lazima ita favour chadema


Source?
 
Kila Lowassa anapofanya mkutano, wanaohudhulia 45% wataludi na kumpa magufuli. Technically Lowassa kesha ipoteza Kanda ya ziwa ambako Kuna zaidi ya milioni 5 ya wapiga kura

kila anapofanya mkutabo kufuli, 90% ni watu wa lowassa. huwa wanaenda kwenye fiesta tu. kwani wewe ni zuzu kiasi gani kiasi kwamba huwezi ata kutofautisha nyomi la kweli na nyomi la fiesta? mwambie kufuli awaache wasanii nyuma siku moja tu akafanye mkutano kama lowassa alafu urudi hapa utupe majibu. nyomi sio idadi ya kura.
 
Siamini kama vyombo vya habari vina impact kwa Ukawa.
Sasa hivi makamanda washinde field kuhakikisha wanawapa wananchi sababu ya kuwachagua.
 

Muulize Magufuli kama hawana migogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…