Lowassa aponda nguvu ya umma

Nguvu ya umma ilitumika kujenga viwanja vya michezo ccm imevichukua, ilitumika kujenga nyumba za serikali ccm wamejiuzia, wananchi wamekatishwa tamaa na ccm ndio maana hawajitolei tena mpaka mali za umma zilizoporwa zirudishwe.
 
Give a credit when is due,kachangia kwa maendeleo ya watu ni nzuri,anayo makosa kama binadamu wengine ndio,hakuna binadamu msafi asili 100 kila mmoja wetu ana mapungufu japo yanazidiana.Katamka kuwa anagombea uraisi 2015 hapana.
 

Hapo kwenye Red Lowasa asichoelewa ni kuwa, hata kama watanzania watumia nguvu hizo kwenye kazi, bado hatuendi popote maana jasho letu linaliwa na wachache akiwamo yeye, sasa nguvu ya uma ni kwajili ya kuondoa udhalimu kwanza then tutaleta maendeleo. Kama ni msafi kwa nini anaona hofu???
aache kuwalaghai watu kwa kutembelea makanisa, bado hatudanganyiki.

Pipoooooooooz Pooooooooooooooooooowere!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi Haya mamilioni wanayochangia kila mwezi wanayatoa wapi?Tofauti yao na sisi ni ipi?Mbona sisi hatuna haya ampesa?Aaaaaahaaaaa kumbee ndo wale wanaoitwa mafisadi?nishasahauuuuuuuuuuuuuu
 

Hivi wanaposema alimtaka Mkuu wa Mkoa wana maana gani?? Ina maana Lowasa kama Mbunge ana nguvu ya kumuagiza mkuu wa mkoa tena ambao yeye sio mbunge wake?
 
Lowassa hafai kuwa rais,ni fisadi,mbinafsi, mbaguzi na dikteta. akipata urais atauwa upinzani,hakuatakuwa na uhuru wa habari,atawagawa watu kutokana na vipato na ukabila.ofisi zote za serikali zitajaa watu kutoka kanda ya kaskazini, na watoto wa wakulima wasahau kupata ajra yeyote serikalini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…