njenga karume
Member
- Sep 26, 2014
- 12
- 9
Wewe mbulula kwanin jk asingempsha lowasa 1995 acha kuwaza kuptia makalio...OUR PRESDENT 2015 IS LOWASA UKTAKA JIUEEdward Lowassa hatumchukii kama wengine wanavyodhani ila wasiwasi wetu ni jinsi anavyotaka uraisi. 1995 wakati kikwete anatangaza nia wakiwa marafiki na lowassa bado lowassa alidrirki kuchukua fomu huu ni usaliti... Mzee sitta( Mwenyekiti wa Kampeni ya Kiwete 1995) alifanya kazi kubwa sana kuwapatanisha. kikwete ni muungwana akamkubalia. 2005 Lowassa akafanya fitna ya kuhakikisha sitta anapata mpinzani akamuweka rafiki yake apamabane na sitta. yeye lowassa akapita bila kupingwa jimboni kwake ikabidi sitta ajitoe kuwa Mwenyekiti wa Kampeni za JK kwa shughuli za jimbo lake Urambo. lowassa akatwaa uenyekiti.
Baada kikwete kushinda 2005 lowassa akafanya juu chini awe PM. ndipo hapa akaanza tena mbio zake za urais. wakati wa vikao vya bunge kila week alikuwa anakutana na wabunge wa kila mkoa kujiandaa kuwa Raisi 2010 huku akisema kikwete ni Rais wa Term moja tu. Ndio maana JK asingeweza kumtetea wakati sakata la richmond kwa hiyo asimulaumu JK ajilaumu mwenyewe. Lowassa toka '95 anataka uraisi hata akishindwa 2015 bado atagombea 2020,yupo tayari kwa lolote.
Ndio maana viongozi waandamizi wana muogopa.
Point tupu.LOWASSA hana sifa za uongozi, ni mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka.
Nimefuatilia mahojiano kadhaa ya Ndg.Lowassa kabla na baada ya uchaguzi mkuu (2015) kila mara akihojiwa akekuwa akiongelea kuhusu azma yake ya kugombea uraisi na jinsi gani anaweka mikakati kabambe ya yeye kuhakikisha anashinda au chama chake kinashinda bila ya kutoa mikakati ya kuondoa umasikini,rushwa nk.
Safari ya Matumaini (akiwa CCM);
Kipindi hiki alikuwa akiomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM, kila alipopita maneno aliyoyazungumza ni ‘’mafuriko hayazuiliwi kwa mikono’’..hii ilitokana na kwamba alikuwa na uhakika kawanunua wajumbe wengi ndani ya CCM na upande mwingine alitengeneza maigizo ya ’wachungaji’,’masheikh’,’wanafunzi’ nk ambao walijenga taswira ya kuwa ‘wametumwa na watanzania wengine’..hiki ndicho kipindi kabla hajaikodi CHADEMA rasmi, wanaCHADEMA walimpinga kwenye mitandao yote ya kijamii wakionyesha ni jinsi gani ananunua uongozi kwa kurubuni wananchi…..mara nyingi alizunguka na wapiga ramli na ‘’manabii’ ili kufanya propaganda huku akiacha kuzungumzia mambo muhimu ya kitaifa hasa kansa ya ufisadi.Mara nyingi kila mkoa aliopita alizungumza kwa hofu ‘’ mafuriko hayazuiliwi kwa mkono,Mzee Mangula hatanikata niungeni mkono’’…dhahiri alijua anakiuka masharti na kumhadaa Mzee Mangula ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na Makamu mwenyekiti CCM Bara.
Safari ya Mabadiliko (CHADEMA)
Ghafla baada ya ‘kukatwa’ CCM akaikodisha CHADEMA na vyama vitatu (NCCR,CUF na NLD) na kuuziwa nafasi ya kugombea urais sasa kwa kutumia wapiga ramli, masheikh na ‘manabii’ waliendelea kutengeneza mazingira na propaganda kuwa bila yeye kuwa Raisin chi ingeangamia na watu wangekufa sera yake kuu ikawa ‘sitafukua makaburi’…tafsiri rahisi ni kuwa kama uliiba hatajishugulisha na wewe kila mtu afanye yake…akaendelea ‘siatfuatilia mtu,nitahakikisha kila mtu anakuwa tajiri’…fanya yako yeye hatojishughulisha, kimjini wanasema ‘’kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.
Baada ya Uchaguzi (wananchi wamemkataa kwenye kura)
Kwa sasa kila napoenda kuhojiwa na waandishi wa habari na mkutano wa CHADEMA yeye akili yake ni uchaguzi wa 2020; yeye anaangali mazingira yoyote yale ili awe raisi, mipango ya kuhakikisha kizazi kijacho wananufaika na rasilimali sio kipaumbele chake,amejawa ubinafsi. Kila akihojiwa hupenda neno ‘’tirany of numbers’’ yaani kinachomsumbua ni jinsi gani atakuwa na idadi ya kura za kutosha awe raisi mwaka 2020 au 2025, hajishughulishi na chochote,yeye anafanya kampeni tu,wahariri wa magazeti wananufaika naye kwani anataka naye kila siku gazeti linukuu kauli yake. Mtaalamu mmoja marekani aliwahi kusema,nanukuu kwa umeombo ; ‘A politician thinks of the next election; a statesman thinks of the next generation’. ~James Freeman Clarke, Sermon.
hakika.Point tupu.
LOWASSA hana sifa za uongozi, ni mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka.

Wasiwasi wenu unatoka wapi tena??c mlisema mgonjwa yule atafia ikulu or ashapona nini??Point tupu.
hivi mambo ya kuandika yameisha?!LOWASSA hana sifa za uongozi, ni mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka.

harambee feki?Sifa za kiongozi wazijua wewe?
Hujakanusha hoja mezani...unalia lia ...uliwasema sio wanamazingaombwe.Mmeshamsema sana mpaka mkafikia mahala pa kutuaminisha kuwa Tanzania ina fisadi mmoja tu ...
Kukatwa na kuhama hakuanza Lowasa.... Kumbuka hata Slaa alipita humo humo..
Akina Wasira, makongoro, Shibuda etc nao humo humo... Unachokifanya ni kuendeleza wimbo ule ule wa fisadi ni mmoja... kumbe wamejaa huko
unpenda kuimba?..jikite kwenye mada!ok huu wimbo wa lowasa umechuja sasa,tunaomba wimbo mwingine tafadhali.au mnasubiri tune ya choir master????OK atakuja na lingine mda c mrefu subirieni kdg tu hlf mrudi kutuimbia tena....ccm mnachemka vby sana
miamba ipi dogo?Hili lilishasemwa weeee ,ila bado jamaa anapasua miamba tu