Sauti ya Rondo
Senior Member
- Aug 1, 2009
- 127
- 226
Napenda sana huyu jamaa aje kuwa raisi wetu ila ndo hvyo cjui kma itawezekana.jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki. Aalipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja. Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa. Baada ya hapo Mhe Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Sijaelewa ulitaka kuandika nini hasa! maana kichwa cha habari kilivyoandikwa haviendani na ufafanuzi wako labda hujamalizia taarifa yenyewe nakuomba ufanye hivyo. Kama ndo umekamilisha basi ni chuki zako dhidi ya Lowassa. Sioni ajabu kukutana na watu, sijasoma popote kufanya kampeni.Jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.
Alipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja.
Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa.
Baada ya hapo Mhe. Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Huyu jamaaa anautafuta urais kwa hali na mali akiupata c tutajuta
Habari yako ingekuwa na maana zaidi kama ungeweka ni nini mangula alisema juu ya LowasaJana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.
Alipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja.
Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa.
Baada ya hapo Mhe. Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Napenda sana huyu jamaa aje kuwa raisi wetu ila ndo hvyo cjui kma itawezekana.
Mimi nina hasira na chuki kwa mleta uzi huyu! najua nikichangia tapigwa "ban"