Lowassa anafanya nini bungeni?

Amuulize nani swali humo bungeni? Hakuna size yake humo. Akiwa na issue anaongea na Rais direct au anatoa directive kwa waziri husika. Wanaobwabwaja bungeni hawana access ya kuongea na rais au waziri moja kwa moja

hahahahahaha piIIpoOoz. .
 
Kama kuna mtu anae ielewa Monduli,kuna masikini wakutupwa.hua namshangaa sana ninapo mwona Lowasa yupo kimya Bungeni akiti kuna jirani zake pale ngarashi hawana uakika wa mlo mmoja,watu wana changishwa elfu kumi kwa ajili ya yaku ongeza madarasa,ila yeye kula kukicha makanisani nakutoa mamilio ya fedha,nafikiri hastaili kua mbunge,abaki kua mfazili wa jimbo na wana Monduli wapate Mbunge wakuweza kuwasemea chechote bungeni.muda wa Lowasa kupumzika umefika.
Wamasai hata ukiwasemea bado wanahitaji mabadiliko yao kwanza (mentally) anaweza kufa na njaa na anao ng'ombe 1000, analala na njaaa na ndani kuna laki moja , na ni wabishi wa kupita kiasi , last week kuna mmasai kafa kisa alikua anatoka shamba yuko na trekta ,mvua kubwa ikanyesha akawa anapita sehemu ya bonde ambapo maji yalijaa , watu wanamwmbia acha trekta okoa maisha yako wapi , na trekta nikazolewa na maji na yeye pamoja , hawa watu wanahitaji elimu ndo itawakomboa
 
Acheni kumuandama Lowassa.
Jamani huu ujinga wenu utaisha lini? Lowassa alijiuzulu kwa hiari na kitu kipya na bora kwa kiongozi Tanzania.
Mpaka imedhibitika kuwa yeye alitaka kuwafukuza Richmond, akamtaarifu Rais JK akiwa nje kwa simu JK akamwambia wape tena muda, muda sio mrefu kamaikaanza kazina matokea yake ni yeye kutuhumiwa bila hata kuhojiwa

ni kweli kabisa..nakubaliana na wewe. Lowassa was a better PM than Pinda would ever be...and if he became a president today he would do a much much better job than the current president. Lowassa na makosa yake mengi but he's responsible and accountable...he wasnt sacked..he resigned something ngeleja, maige, mkulo and the rest could learn from:A S thumbs_down:
 
Lowassa ni mchapa kazi sana, amefanya mengi, enzi zake ukisikia waziri Mkuu anakuja watu walikua wanakimbizana kuweka mambo safi...Lakini licha ya hayo, akiongea Bungeni wananojifanya wana uwezo huwa wanampinga hata kwa mambo ya msingi. Kuna siku aliongea Bungeni kuwa ifike mahali maamuzi magumu yafanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu,akatokea mtu mmoja ambaye anajiona ana akili sana akasema napingana na Mheshimiwa Lowassa kuwa maamuzi magumu yafanyike, sisi tutafanya maamuzi sahihi na sio maamuzi magumu...that's ****, kiongozi lazima ufike mahali ufanye maamuzi magumu, maamuzi sahihi ni kwa kipimo gani?ndio maana anafika mahali haongei, maana wa size yake ambao anaendana nao kwenye chama hawaoni...Long live Lowassa, hayo mengine ni mapungufu ya kiubinadamu, otherwise mzee jembe yule.
 
hakuna mpuuzi jinga kubwa kama MBOPO humu ndani,Lowasa mzima kabisa humu ndani alafu unazisha upuuzi wako eti Mgonjwa Acha ujinga Mods ni kipindi cha kuwapiga ban apuuzi ka hawa,nonsence,Long Live Edo.

Hata wewe unasitahili kupigwa BAN kwa kutoa matusi hadharani. Jaribu kutumia lugha ya staha, tafadhali!!!!
 
Back
Top Bottom