Yaani habari za majipu TRA na TPA kwake siyo habari..!
Hapana alikuwa anakemea kitendo chako cha kugawa masaburiUsishangae huyo ndio iliyokuwa ilaaani ya CDM aliokuwa anaisimamia mara kwa mara ,kumtoa babu seya gerezani ,kumleta daudi balali , yeye kamwe hakuwahi kukemia sawala laUFISADI maana ndio maisha aloyaishi ,na hata pale arusha WAKATI anatangaza nia ,alisema ile hela ya kuwaleta watu na kugharamia ule mkutano 1.5b alisema alichangiwa na marafiki wake kama akina KARAMAI ,ROSTAM,MENGI ,na akasema anatamani awe na akina KARAMAI KAMA 200 hivi huyo ndio LOWASA
Pengine ana taarifa tusizokuwa nazo wengine...maana yanayosemwa mitaani pia yanachagiza kuongeza taswira hii.Hili la Babu Seya linazidi kunipa mashaka.... Kwa nini Lowassa analizungumza kila mara?