Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

kupambana kutimiza malengo yako
 

Yawezekana uliyo post yakawa kweli kuhusu huyo mzee! Lakini amekuwa madarakani kwenye Serikali ya CCM kwa kipindi kirefu, labda utuchambulie kafanya nini kwa kila eneo ulilolitaja. La ni mhemko tu wako wa kisiasa. Au kwa kuwa kahama CCM, ghafla Mwenyezi Mungu kamshushia hiyo level ya kisiasa!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Huyu ndiyo raisi mtu mtulivu. Ya nini kumchaguwa mtu wa kulipukalipuka kama stove ya mchina?? Hahahaha
 
huyu mzee hakurupuki kama wa upande ule,kule wana mihemko haoo nheee!!
 

Hivi ile meli ya kinanaa iliyokamatwa na ivory ilisharudishwa tanzania?
 

Lowasa lowasa owasa lowasa lowasa lowasa
 

Anabadlika kama kinyonga.Wamarekani na jumuiya ya kimataifa walio katika mapambano na ugaidi wanaelewa kila kitu Kuhusu Lowasa na kuhusu hela za kampeni zake zinatokea wapi.Hawawezi danganyika.Na wanaelewa kwa nini Lowasa alimchukua Duni Haji muumini wa UAMSHO kama mgombea mwenza.

Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.
 
Huyo ndie Raisi wa awamu ya tano. Mungu ibariki Tanzania Mungu mbari Edo.
 

Kukazia usahihi wa hilo weka link ikimuonesha yupo among ya blacklist mkuu au bandiko lolote la wa kubwa likimtaja wazi wazi juu ya hayo usemayo mkuu, aksante
 
Itoshe tu kusema, Lowassa ni kiongozi mwenye busara na hekima nyingi sana!
 
Suala la sheikh farid wa uamsho liko mahakamani anaposema atamwachia hapo anaingilia uhuru wa mahakama. Kuna tatizo gani sheria kuchukua mkondo wake?

Inamaana akiwa rais hakuna haja ya kuwa na mhimili wa mahakama na ofisi ya DPP? Kwani mashauri atakuwa anaamua sebuleni kwake! Utakuwa utawala wa hovyo sana.
 

Soma kwanza uelewe alichoeleza mkuu, soma soma soma kwanza kabla ya maoni yako! Labda kama utahitaji ufafanuzi juu ya maelezo yake
 
Kinana anaanza kuwa kama Lusinde,Mwigulu anaacha kufikiri kwa kutumia kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…