sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Wanasiasa wanapenda kutumia matatizo ya wengine kujiimarisha kisiasa. Kila tatizo linalokuja wanasiasa hulitumia kujiinua kisiasa!
Lowassa akiwa Bukoba anaitangazia dunia kuwa kuna njaa ila kule kwake Monduli hajaiona hiyo njaa. Wakati kila mwaka kwa wamasai njaa ni kawaida na alikuwa akiwagawia mahindi hadi kanisani, safari hii amewatosa anaenda kupayuka huko mbali mambo ya njaa!! Alichowazoesha wamasai wa Monduli akaendelee kukifanya kule.