Lowassa amekuwa Mtaji wa Wanasiasa karibu Wote

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,525
10,014
Utaki Acha..
Amekuwa kama Ngazi fulani ya Kuinukia either akusaidia direct au kumkandia hapa hapo utainukia juu kisiasa Ana Nyota kali sana... Jaribu tu utawini.. Akiwa ndani ya CCM wengi walifanikiwa kwa uwepo wake na haina siri hata kidogo... ameingia Upinzani wabunge wengi wa upinzani wamepata tena wengine kwa mshangao... Yule Mama wa CCM alishawahi sema Hakuna Mwanaume kama Lowassa...

Utaki Acha zama kwenye List down there

Nape,
Makonda,
Kikwete
Fuli
Msinda
Kubene
Lema
Burian

Na kuendelea list ni ndefu na haiishi

Huyu Mtu aachwe kama alivyoachwa Marehemu Mtikila kila asemalo always huwa halina ubaya na lina maana pia msisahahu ukifuata ushauri wake lazima ufanikiwe... am sure kuna siku atapewa Utume si mtu wa Kawaida... aliwapa watu msisimiko mno... na hilo halina siri Kinachonishangaza yeye anapenda Amani.... kwa hilo mimi nikakili





Hahahahahaha
 
Yaani huyu jamaa acha tu, juzi watu wanafanya mkutano haukunoga mpaka pale walipomtaja lowassa
 
By the way, Chadema ilikosa mvuto pale ilipoacha kuwa chama cha "wapiganaji" na kugeuka chama cha "wapigaji"
 
Lowasa hasafishiki ~~~~ Kubenea

Nina kila aina ya ushahidi kuhusu ufisadi wa Lowasa. ~~~ Mnyika
 
By the way, Chadema ilikosa mvuto pale ilipoacha kuwa chama cha "wapiganaji" na kugeuka chama cha "wapigaji"


mbaazi zikikosa maua husingizia jua coment yako inadhhirisha kilichopo ktk hii thread kuna chama kimeundwa kwa ajili ya upigaji? mvuto wa chadema ulikuwaje kabla ya lowasa? ameongeza ushindani au kapunguza ushindani? mnapotoa coment muwe kama binadamu mwenye ubongo huwez ukatuambia kimepoteza mvuto huku halmashaur na wabunge wameongezeka!!!!!!
 
yea kule chenge ni mtu safi sana.

Ufisadi wa Lowassa ulipingwa zaidi na Chadema kuliko wa Chenge! Tafuta list of shame halafu nitajie jina la Chenge ni namba ngapi halafu tazama jina Lowassa liliwekwa namba ngapi?
 
Ufisadi wa Lowassa ulipingwa zaidi na Chadema kuliko wa Chenge! Tafuta list of shame halafu nitajie jina la Chenge ni namba ngapi halafu tazama jina Lowassa liliwekwa namba ngapi?


tatizo nyota
 
Unashangaa iyo wakati waziri wako alieimba anaimani na Lowasa saizi hamtaki tena..
Lowasa kawapa kiki sana wasiokua na mitaji mjini hapa
 
Ufisadi wa Lowassa ulipingwa zaidi na Chadema kuliko wa Chenge! Tafuta list of shame halafu nitajie jina la Chenge ni namba ngapi halafu tazama jina Lowassa liliwekwa namba ngapi?
Wakati watu wanaimba wimbo wa Lowasa ni fisadi nchi nzima miaka zaidi ya minane (8) yeye binafsi alikaa kimya kuwapa uhuru wa kutamka na kusema yote waliyonayo wabaya wake!
Mwisho akajitokeza akatubu na kuuambia uma kuwa ''nilitaka kuvunja mkataba lakini nikaambiwa na mamlaka ya juu kutovunja'' hapo ndipo tukaelewa kiini cha tatizo. Akasisitiza kuwa mwenye ushahidi na kuhusika kwangu ktk Richmond aende mahakamani. Mimi nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lowasa ni fisadi.
Huu wimbo ulishaimbwa sana ifike mahali tufanya witendo tuachane na ngonjera.
Tumeanzisha mahakama maalumu, kwa nini hawa tunaowataja kila siku tusiaandae mashitaka tukawabuluza mahakamani ili kurejesha imani kwa jamii!!???
 
Hakuna kazi kubwa Mbowe kawapa Bavicha kama kazi ya kumsafisha Edward Ngoyai Lowassa.
Hasafishiki ngoyai, wanachofanya bavicha ni kumfukiza ubani.kazi ambayo mwisho wake ni vijana wengi wa bavicha wataishia milembe.
 
Back
Top Bottom