Nani amekwambia kuwa Chadema watamwachia Makongoro agombee jimbo la Segerea?
Kinachojukikana ni kuwa jimbo hilo la Segerea kura za maoni zishapigwa na mshindi atakayepeperusha bendera ya Ukawa kwa tiketi ya Chadema keshajulikana.
Huyo Makongoro itabidi asubirie zile nafasi 10 za kuteuliwa viti maalum na Rais pale ambapo EL atakuwa ametinga Ikulu.
Kwa jinsi EL walivyo 'maswahiba' na Makongoro bila shaka mzee wa mamvi hawezi kumsahau kwenye 'ufalme' wake kumpatia post ya Ubunge.
Ukawa busy mitandaoni.........wasipojipanga watashangazwa na goli la mkono. au penalt
Mtatiro amethibitisha kutogombea tena jimbo la segerea kwa tiketi ya CUF kwa akil ya fasta fasta n kuwa hlo jimbo litapeperushwa na Chadema na mtu pekee wa kulitetea hlo n Makongoro mahanga Swaiba wa Edo aliehama CCM.....
Hapo Ukawa wamesshalicha jimbo hlo tayar

Huyo hana haki ya Kugombea?Mtatiro amethibitisha kutogombea tena jimbo la segerea kwa tiketi ya CUF kwa akil ya fasta fasta n kuwa hlo jimbo litapeperushwa na Chadema na mtu pekee wa kulitetea hlo n Makongoro mahanga Swaiba wa Edo aliehama CCM.....
Hapo Ukawa wamesshalicha jimbo hlo tayar
Mtatiro amethibitisha kutogombea tena jimbo la Segerea kwa tiketi ya CUF kwa akili ya fasta fasta ni kuwa hilo jimbo litapeperushwa na CHADEMA na mtu pekee wa kulitetea hilo ni Makongoro Mahanga Swaiba wa Edo aliyehama CCM.
Hapo UKAWA wameshaliacha jimbo hilo tayari.