Nilazma kufuatilia mkuu, maishayetu yanategemea siasa kwa kiasi kikubwa.Yafaa tujifunze japo twajua kwamba masuala ya siasa ingewezekana si ya kuyafuatilia. Shida mtu ukiwa na uelewa wa kawaida tu Lazima Siasa ikuumize na kukufikirisha.
tumefanya maisha yetu yategemee siasa, ila sio kwmb siasa ni maisha yetuNilazma kufuatilia mkuu, maishayetu yanategemea siasa kwa kiasi kikubwa.
Wakuu habari za asubuhi,
Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.
Kwa kauliyake Dr. Slaa nikwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie alie mtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.
Ngoja nisubiri kuona kunakitu kingine nataka kujifunza hapa.
Na Dr slaa yuko CCM...sasa tatizo nini..ngoma draw..BTW Mshindi hapa ni slaaWakuu habari za asubuhi,