Mwasita Moja JF-Expert Member Dec 31, 2015 2,903 2,580 Jan 8, 2016 #3 Hahaha mwishoni mwa kampeni alifuria hadi akauza kiwanja . chezea DJ Mbowe wewe ,amekula hela zake na kuenda kuficha ulaya
Hahaha mwishoni mwa kampeni alifuria hadi akauza kiwanja . chezea DJ Mbowe wewe ,amekula hela zake na kuenda kuficha ulaya
Genghis Khans JF-Expert Member Dec 5, 2015 502 462 Jan 8, 2016 #4 Walikuwa wanasiasa wa kukodisha unategemea nini, Wapo kimaslahi zaidi.
masopakyindi Platinum Member Jul 5, 2011 18,173 13,776 Jan 8, 2016 #5 Genghis Khans said: Walikuwa wanasiasa wa kukodisha unategemea nini, Wapo kimaslahi zaidi. Click to expand... Na ndio tatizo la kutaka utais wa kununua, inabidi kumnunua kila aliueko mbele yako.
Genghis Khans said: Walikuwa wanasiasa wa kukodisha unategemea nini, Wapo kimaslahi zaidi. Click to expand... Na ndio tatizo la kutaka utais wa kununua, inabidi kumnunua kila aliueko mbele yako.