Vijana wa ccm na vyombo vya habari vya ccm akili zao zimemfanania nape kuropoka tu bila hata kuwaza cha kusema
lowassa atawatishiaje wafanya biashara? Uliwahi kusikia wapi akiongea ovyo kama magufuli na nape? Lowassa ni mtu mstaarabu hana tabia ya kijinga kama yenu
Haki utumwa ni mbaya sana yaani hata uongo hamjui kutunga?wewe umemuona kwako akikuomba pesa?kuna ndugu yako ameombwa pesa?unaushahidi upi?yaani ccm wamekosa pakutokea sasa imekula kwenu
Mbona mikutano yake yote haina watu, wangemsaidia wasanii na kumwezesha malori ya kusomba watu toka vijijini angalau mikutano yake ipate hadhi hata kama mbunge tu
Nilijua tu kuna siku nitakutana na uzushi wa namna hii,kawaambie waliokutuma HATUDANGANYIKI NG'O,tunasubiri tar 25 octoba angalau tuokoe rasilimali zilizosalia! DELETE CCM!