Lowassa aitikisa Meatu

Sasa lowasa anamambo gan kanichukiza meatu si alishaenda na singida?
Kwan huku ifakara na kilombero hakuna watu????

Tuheshimiane naona unatupanda kichwan watu wa kilombero hatutaki dharau njoo haraka ntakutukana bure
 
lowassa kwa sasa hali yake mbaya kwa watanzania, wameshajua yeye mpiga dili tu hana jipya ktk nchi hii. Watu wanasema ni magufuli pekee ndio rais wa tanzania.
 
lowassa kwa sasa hali yake mbaya kwa watanzania, wameshajua yeye mpiga dili tu hana jipya ktk nchi hii. Watu wanasema ni magufuli pekee ndio rais wa tanzania.

Ngoja upewe senti za kuongezea viraka na magamba kwani ndio level yako ya ustawi!
 
Tunasema hivi nibora kumpa fisadi mmoja aliejitoa katika kundi la mafisadi kuliko kumpa mtu aliebeba mafisadi miamoja na wakawa tayari hata kutumia njia ya polisi ili waendelee kufanya ufisadi
 
lowassa kwa sasa hali yake mbaya kwa watanzania, wameshajua yeye mpiga dili tu hana jipya ktk nchi hii. Watu wanasema ni magufuli pekee ndio rais wa tanzania.

Acha uongo aisee, labda wewe ndio unasema lakini sio watanzania wote. Ni upotoshaji au kukosa hoja.
 
Lowassa anapitia wananchi wake na kuwahakikishia maisha yenye matumaini.
 
👍👍👍👍👍 hapa kazi tuuu
 
Hili fisadi la kazi gani.

Akishakua Raisi wako ndio utajua, tatizo vichwa vyenu vimejaa madudu hamuwazi, mkishaiba na kugawana mwaona maisha ndio mmeyapatiaa,
fyuuuuu!!!
mwaka huu mtajua kua wa tz wameamka .
 
Hapo ni kwa salum mbuzi. Ameenda kupoteza muda tu.

Salum Mbuzi? Huyo alishapigwa na Opulukwa siku nyingi yaani Meshack anasubiri kuapishwa tu! Jimbo la Kisesa nako Mpina anapumulia mashine tumembana sawasawa!!
 
Jamani kuna mtu Ana wimbo wa komba aliomtungia lowasa?unaosema lowasa huyo na Tanzania yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…