Arumeru ni CCM wenyewe kwa wenyewe walihujumiana kwa kumhujumu chaguo la EL ili kumkomoa!. 2015 CCM ikirekebisha makosa, jimbo linarejea kwao!. Tena kiukweli kama Chadema inataka kuyalinda baadhi ya majimbo yake, haina budi kuwasaidia baadhi ya wabunge wake dhaifu katika ufuatiliaji, usimamizi na utekelezaji, vinginevyo 2015, itayapoteza!.
Pasco