Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

Nani alikwambia suti nyeusi ni utamaduni wa ki TZ?Aisee pombe ulizopiga leo zina uwezo mkubwa sana wa kuchafua mfumo wa fahamu!
 
Lowassa, alikuwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam. Wala sio Kilosa, mbona alikuwa kwenye pozi tu kama kawaida yake...Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania.
Lenu na nani?labda na familia yako ndio mna-entertain ufisadi huku watanzania walio wengi wakitabika nanyi mkililia kuitwa waheshimiwa,ushindwe na ulegee
 
Duh..........sasa tutaanza kuchunguzana hadi nguo za nd...ni.......kweli hili jukwaa la siasa. ............. .hahahaha
 

Tangu nimejiunga na JF sijawahi kukumbana na bandiko la kijinga kama hili. Kwanza somo hilo la kusema utamaduni wa Watanzia ni kuvaa suti nyeusi wakati wa misiba umelitoa wapi. Huo ni utamaduni wa kigeni kwetu. Hebu chunguza bungeni uone suti nyeusi zilivyojaa. Kwa akili yako basi kama vazi jeusi ndilo maalumu kwa misiba tu. Tungekuwa tunashuhudia idadi kubwa ya kanzu nyeusi wakati wa misiba ya waislamu. Lakini sishangai, jina lako nalo linanipa mashaka. Kuna mji unaitwa Itigi, nakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na klabu ya pombe za kienyeji ilikuwa inaitwa SISI KWA SISI BAR.
 
Alimaanisha kwamba waislam dawa yao ni ubwabwa na kahawa basi!

Hapana dawa yao ni mahakama ya kadhi na lowassa kasaini nao mkataba wa kisheria wampe kura anawapa mahakama ya kadhi,hapo kweli hata wakatoliki wakimpinga waislam watambeba,kwa sababu wanaoweza kwenda sambasamba na wakatoliki ni waislam tu,na hapa tz dini ziko mbili tu waislam na wakatoliki,nyingine zipozipo kama hazipo wala hazitambuliki.
 
Alijua kuwa hotuba za leo zingekuwa zikimchimba yeye na kambi yake.Kwa maneno mengine ni kama ameanza kuachana na siasa uchwara za CCM.Nina kuwa na wasiwasi na CCK huyu mkuu anaweza zamia huko.

siyo kwamba waliwasiliana na JK before?
 

Hana mpango wa kutoka CCM,wala kuhamia chama chochote cha siasa..
Naweza kusema,ye ni mratibu asiyeonekana wa maamuzi ya chama hicho.. So usione ajabu kuwa aliisoma hotuba yote siku mbili au hata wiki moja kabla ya M/kiti Kikwete kuisoma Mwanza!
Siasa ni mchezo ambao unachezwa na watu,nao wanachezesha watu,halafu nao wanawachezea wengine...
 

Lutheran je..
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu

Inaelekea wewe ni muumini wa shilingi,na bila shaka baba yako ni au alikuwa mlinzi wa benki
hapa hatuongelei utajiri wake bali ni ufisadi uliopelekrea utajiri huo.
*UNAWEZA KUNUNUA CHEO,LAKINI KAMWE HUWEZI KUNUNUA HESHIMA.
*UNAWEZA KUNUNUA GODORO,LAKINI HUWEZI KUNUNUA USINGIZI.
Sasa wewe kwako mwenye pesa ndio kila kitu,bahati yako sijui u-jinsia gani......watu tunajadili jambo nyeti wewe unaleta ushobokeaji wa pesa za watu Take care !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…