Pilato
Member
- May 29, 2008
- 60
- 3
Hadi sasa hakuna shaka juu ya UMAARUFU wa Mbunge wa Monduli Mh. Lowasa katika harakati zake mbalimbali za kisiasa na hata utendaji wake kazi ambao unakumbukwa kwa ushupavu wake wa kufanya maamuzi ya manufaa katika kutimiza nia Njema kwa wananchi wenye Hali mbalimbali.
Mfano ameshiriki katika harambee na hata makundi mbalimbali katika kuyajenga na kutoa Moyo na hasa kuwaendeleza zaidi katika azma zao iwe kundi, kanisani, na hata misikiti ni hata Kama hajasaidia sehemu nyingine ni kwamba inawezekana ziko katika ratiba yake na bado kufikiwa.
Kwa Ujumla ni jitihada zake binafsi na ubunifu wake mkubwa ili kuwa karibu zaidi na wananchi na pia kujenga Imani naye kweli anastahili pongezi kwa nia yake Njema japo mie sio mshabiki wake Kama wengine.
Nionalo hapa ni jinsi jina lilivyokubwa na linalovyozidi kuwa kubwa, na hasa jina hili likisemwa kuwa na nia ya kugombea urais kinyang'anyiro cha 2015 ukweli lina nafasi kubwa na linasemwa semwa na hata wapinzani wa vyama vingine.
Nionalo hapa asibweteke na hilo inawezekana watu wake wa karibu tayari wameridhika kwa kuona samemaliza kazi na jina linauzika na kwa mazoea hayohayo itasababisha mtu mwingine kabisa atake advantage na kutumia mwanya huo kuweka bidii ya Hali ya juu na mwishowe yatokee Kama ya Nchi ya jirani kwa Kina Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
Kwani Kila mtu ambaye hakuchunguza kiundani alijua Raila angeshinda badala yake Uhuru ndio akashinda na Raila Odinga hakutegemea kabisa, na sasa asije ikawa Lowasa kwa wakati Huo naye asitegemee linalotokea.