Kiukweli anapendezea!. Hebu mfikirieni yule jamaa yetu mtarajiwa mwingine wa 2015 ataonekanaje?.
Akiwekwa, siku mtoto akikataa kula unamtisha na noti!.
Pasco
Kuna kitu nakitafakari halafu sipati jibu labda munisaidie, hivi Lowasa asipopita kwenye mchujo wa kuwa mgombea uraisi ndani ya CCM kutatokea nini ???????????