Lowasa na Sumaye ni CCM kindaki ndaki

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Lowasa na Sumaye wanapewa vitu vifuatavyo maisha yao yote ( Na Serikali ya CCM ) :-


1. Usafiri

2. Ulinzi ( mkali )

3. Wafanyakazi

4. Malazi

5. Chakula

6. Mshahara ( 80 %)

7. Mavazi

8. Mawasiliano


Tuchane na siasa za 2015, siasa za kufuata upepo na zilizokwisha pita na wakati.

Wewe upo huko Naliendeli, Ngudu na huko kwingineko unajivunia ukamanda wako eti upo na Lowasa , Sumaye kwenye safari ya mabadiliko.

Huna mbele wala nyuma unafuata mkumbo ( hasa huku mitandaoni). Unajua Mbowe anavyoramba ruzuku ya CHADEMA ?

Ukapimwe akili.
 
Reactions: bbc
Kama wanastahili ,sioni tatizo lolote! Ila hilo la ruzuku,acha wazitafune ili ccm itawale milele!!!
 
JF imevamiwa kwahiyo lissu na mbowe wanavyolala selo huku wwe na mimi tukiwa tunakunywa juisi kwa kijiko huwa na wenyewe wanahoji kama tupo nao kwenye mapambano???

Hivi unajua mangapi lowassa na sumaye wangefaidika nayo kama wangebaki CCM??

Kazi kwelikweli
 
Nilifikiri kuna jipya
nilifikiri kuna jipya..hayo yanajulikana
 
wacha waisome namba weeee!!
 
Laiti ungejua mshahara wa mbunge wako ambaye tangu mumchague hajakanyaga jimboni kwenu Nyie wasaka panya msinge thubutu kujiita wana ccm kindakindaki!! Hebu angalia ubora wa maisha kati ya majimbo yanayo Tawaliwa na ccm na yale yanayoongozwa na vyama vingine uone tofauti! Oneni aibu jamani!
 

Wanapewa hayo yote si KWA HURUMA AU WEMA WA CCM... ni matakwa ya kisheria kwa NAFASI WAZOWAHI KUSHIKA.....

Ila nijuavyo, wengi wenu mnadhani ni FAVOR to CCM.... Na imani hiyo ndo imepelekea matibabu ya LISU yawe kama yalivyokuwa

BILIONI 1500 UNAFAHAMU ZILIKO?
 
Lisu hakutaka kufuata matakwa ya sheria. Asilalamike.
Ungeweka hiyo sheria ambayo hajaifuata ingekuwa jambo la maana sana... Kuongea tu kwa hisia wala hakufanyi jambo la uwongo liwe la kweli na la kweli liwe la uwongo
 
Matapeli wa Chadema wameanza harakati Za kumuomba Fred Lowassa agombee Ubunge Monduli

Wanajua hawezi kushinda ila Hali ngumu wanataka kula hela Za Mzee Ngoyai Kama 2015
 
Maccm majinga tu. Sikh mkijua tunaokula bata nchi hii tunawaunga mkono chadema kwa kificho au kwa uwazi mtajinyonga
 
Lowasa na Sumaye wanapewa vitu vifuatavyo maisha yao yote ( Na Serikali ya CCM ) :-


1. Usafiri

2. Ulinzi ( mkali )

3. Wafanyakazi

4. Malazi

5. Chakula

6. Mshahara ( 80 %)

7. Mavazi

8. Mawasiliano
Wanapewa haya kama mawaziri wakuu wastaafu. Aisee, ktk post ulizoandika kiboya hii namba 1😀
 
Ungeweka hiyo sheria ambayo hajaifuata ingekuwa jambo la maana sana... Kuongea tu kwa hisia wala hakufanyi jambo la uwongo liwe la kweli na la kweli liwe la uwongo
Kamuulize Spika Job Ndugai atakuonyesha bila wasi wasi. Tusisumbuane hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…