N NYEREGENDA Senior Member Joined Nov 21, 2014 Posts 174 Reaction score 30 Aug 10, 2015 #1 Mpaka saa hii wamemdhamini watu 2.6 na watu maarufu wafuatao wamemdhamini huku zanzibar yumo moyo bilal seif na kule bara yumo nchimbi apson kingunge
Mpaka saa hii wamemdhamini watu 2.6 na watu maarufu wafuatao wamemdhamini huku zanzibar yumo moyo bilal seif na kule bara yumo nchimbi apson kingunge
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,641 Aug 10, 2015 #2 great news
telex JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 406 Reaction score 103 Aug 10, 2015 #3 hata mimi nimo pia
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,090 Aug 10, 2015 #4 Mimi namdhamini,lakini panga habari yako vizuri!
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,730 Aug 10, 2015 #5 Hata mm niko..
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Aug 10, 2015 #6 Acha kumpunguzia hishima weyee, akitokeza tu barabarani kujitambulisha, hao ni watu wa mkoa wa Mbeya pekee achilia mbali, Mwanza, Kagera, na huko mnako chukia zaidi yaaani Kaskazini
Acha kumpunguzia hishima weyee, akitokeza tu barabarani kujitambulisha, hao ni watu wa mkoa wa Mbeya pekee achilia mbali, Mwanza, Kagera, na huko mnako chukia zaidi yaaani Kaskazini