E ELIESKIA Senior Member Joined Jul 21, 2011 Posts 120 Reaction score 19 Apr 17, 2012 #1 ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Apr 17, 2012 #2 ELIESKIA said: ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani Click to expand... Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!
ELIESKIA said: ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani Click to expand... Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Apr 17, 2012 #3 Watu wapo busy na EALA
S SJUMAA26 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 607 Reaction score 168 Apr 17, 2012 #4 Huyo ni mfuasi wa Magamba anapima upepo kuhusu taarifa feki waliyotoa jana. Bigirita said: Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!! Click to expand...
Huyo ni mfuasi wa Magamba anapima upepo kuhusu taarifa feki waliyotoa jana. Bigirita said: Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!! Click to expand...
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Apr 17, 2012 #5 Bigirita said: Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!! Click to expand... kaka so mbaya kama kuna mtu ajibu swali la mleta thread kwani watu wengi tulikuwa na kiu ya kusikia tamko la huyo EL mmoja wa majambazi wa rasilimali za nchi yetu.
Bigirita said: Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!! Click to expand... kaka so mbaya kama kuna mtu ajibu swali la mleta thread kwani watu wengi tulikuwa na kiu ya kusikia tamko la huyo EL mmoja wa majambazi wa rasilimali za nchi yetu.