Lowasa; asisitiza kuhusu maamuzi magumu

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
JF
nimekuwa nikipitia kwenye wall paper (Facebook) ya aliye kuwa waziri mkuu wa TZ kabla ya ya huyu anayejiita mtoto wa mkulima
Lowasa ambaye anajiita Lowassa the next president of united republic of Tanzania amesema hivi ktk facebook yake.
[h=6]Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania
[/h][h=6]Bado Nasisitiza kuhusu 'MAAMUZI MAGUMU'
kama kweli ni Mbio za Vijiti basi mwenye kijiti hichi
na Awe makini kwani kitavunjika muda si mrefu.

NAIPENDA TANZANIA[/h]
JF keep in touch tutasikia mengi
 

it is good to dream!
 
Kijiti kilishavunjika toka ulipong'atuka,, sasa ni mbio za unyoya huu hauleweki unaelekea wapi, unafuata upepo tuuu
 
Mkuu huyo sidhani ni Lowassa wa kweli. Huenda ni mtu mwingine tu amefungua account kwa jina hilo
 

Kijiti kilishavunjika tangu ulipong'atuka, sasaa ni mbio za unyonya hakuna wakuushika unakimbizwa na upepo tuu
 

Maneno bila matendo ni bure
 
hiyo facebook page ni feki, mali ya wajanja flani.
 
Kijiti kilishavunjika tangu ulipong'atuka, sasaa ni mbio za unyonya hakuna wakuushika unakimbizwa na upepo tuu

Hahahaaa! Kijiti kilivunjika sasa ni unyoya!!! Asante kamanda
 
hiyo facebook page ni feki, mali ya wajanja flani.
inawezekana ni kweli ila nimekuwa nikiifuatilia kwa siku nyingi sana na amekuwa hatoi maada labda kwa miezi miwili hadi mitatu mara moja zaidi zaidi rafiki zake ndio wana anzisha maada
 
Next president kisha anachangia makanisa au kwa lipi na uamzi mgumu atamsikitisha nani kwa umasikini aliotusababishia kwa kujilimbikizia mali kwa kodi zetu
 


Kama kweli kaandika hivyo nakubaliana na mawazo yake kwakuwa nilishawahi kuwaza kuwa Lowasa anafanya kampeni za chini chini mapema inawezekana anajua Jk hatamuliza muda wake. Nimeanza kuliona hili mapema na nahisi ndiko tunakoenda. Hata hivyo yeye hawezi kuwa rais wa nchi hii.
 
Huyo jamaa aliefungua account fb kwa jina la lowassa naona hamtakii mema,ana lengo la kumchafua,ni strategy ya wapinzani wake nadhani,eti the next president!
 
Huyu ni sawa na mtu anaota anaendesha bonge la hammer, huku akiwa anaishi maisha matamu ajabu ambayo aliyatamani long time a go. Sasa kama ni el, basi atakuwa anaota ndoto hizi hizi na simshangai.

Namshauri akafuge ngombe alafu wakiwa wengi kiasi cha kufikia idadi ya wa tz, basi awe rais wao (ngombe)
 
ufisadi wake nini? hana ufisadi huyu jamaaa
mbona mnataka kura zipoteee CCM km Mvua ya Thailand?
Ww moaka leo tunalipa bill kubwa ya umeme kwa ajuuli ya maamuzi magumu!
Karata yehu tumeigundua
 
kama kweli ni Lowasa, basi ni mnafiki.Mbona hajaweka sahihi yake ya kutokuwa na imani na Pinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…