LOWASA: Ananikumbusha wkt wa Obama

Kweli Jembe letu Lowasa mvuto wa kutisha!!!
 
Lowassa anakubalika sana sana wakuu.... Ana mvuto na anauzika sio kama yule jamaa mwingine....
 
Mkuu ocampo four.
Lowassa anakubalika sana sana wakuu.... Ana mvuto na anauzika sio kama yule jamaa mwingine....
Kama unafuatikia siasa za nchi hii hebu wanasiasa wa upinzani wajipange vyema wkt wa kuhesabu kura na hata kutangaza matokeo ili wasije chezewa sindimba la karne hta kama jamaa anauzika bila discount.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…