Lowasa anafanana na Wafuasi wake!

Lowasa anafanana na Wafuasi wake!

haaa haa lowasa alikuwa safi alivyokuwa ccm leo yuko upinzani ni mbaya.duh siasa za majitaka hizi ni hatarsana..
Protocol zinakataza kumsema vibaya pm wako ambae kichama anaingia kwenye baraza la washauri...vile vile alikua anaomba urafiki sana na.mpuuzi mwenzake jk.kwa kusema hawajakutana barabarani jk na.Uswahili wake akashindwa kumvua gamba..
Pamoja na hayo cdm walikua wanamsemaje huyu bwana kabla hajaja kuwanunua?
 
Mbaya zaidi utafiti wa tarehe 25 oct matokeo yake yanabandikwa kwenye vituo vya kupigia kuraa, hakuna kuchakachua.
Kama namsikiliza Roma vile!
 
Jeshi La Police Kamateni Huyu Mtu Anafanya Mazoezi Anajiandaa Kuleta Vurugu
 
Kweli ndio maana wazungu walisema ,,birds of a feather flock together " ukimuangalia fisadi Lowasa na wafuasi wake wanaojiita ukawa wote tabia zao zinarandana, wote ni watu waliopoteza uhalisia, kwa mfano fisadi Lowasa alinukuliwa akisema kwamba hakuna wakumkata CCM akakatwa, alisema hawezi hama CCM isipokuwa wao (sijui wao ni akina nani) ndiyo watahama, lkn matokeo yake alihama , akasema akienda ukawa ataondoka na Wabunge 150 ktk CCM ameondoka hakuna aliyemfwata isipokuwa makapi yaliyotemwa na CCM, haya sasa hivi anasema atashinda asubuhi na mapema wakati tafiti za kitaalamu zinaonyesha kwamba kama uchaguzi ukifanyika leo hii ataambulia kwenye kama asilimi 20% hivi hilo nalo kama vile wafuasi wake analikataa anasema wamemfiksi na kwamba tusubiri oktoba 25!

Sasa kwenye uchaguzi pia atapigwa mbaya na WatanZania tena itakuwa chini ya hiyo asilimia 20% na baada ya hapo atakuja na singo nyingine tena sasa sijui itakuwa ni ipi kwa maana SADC, AU, EU & Co. wote watasema uchaguzi ulikuwa wa salama na wa haki, sasa sijui nani hata atamsikiliza tena!

jua tupo pia wasomi weng nyuma yake
 
Subirini matokeo mtajiharishia, mbona alipokua ccm mnyapara alisema lowasa ni safi? Kinana nae alisema lowasa safi? Amekua fisadi alipohama au sizitaki mbichi hizi?

Wenye tatizo sio waliosema ni MSAFI.... Ni "waliomsingizia" ufisadi kwa ushahidi uliotukuka na kisha kumsafisha Bila KUPEPESA MACHO.
Kuwa MSAFI sio kigezo pekee cha kuwa anafaa
 
Back
Top Bottom