eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Ufisadi wake sio wa richmond tu...ranchi za ufugaji n.k
Kama ripoti ya mwakiembe inamtaja lowasa kama mtu anaestahili kuwajibika kwa sababu ya makosa ya watu wengine kisa tu alikua waziri mkuu sasa hayo maneno ni fisadi wa Richmond yanatoka wapi? Ripoti inasema kulikua tu na mawasiliano kutoka kwa waziri mkuu kitu ambacho ni kawaida kwa kua kwa cheo chake ni lazima ajue kinachoendelea na hapa ndipo ninapomwelewa lowasa kua aliona matatizo haya ya Richmond na ndipo alipotaka kuvunja mkataba lakini ngazi ya juu yake ilimkatalia. Ningeomba wamwache lowasa ni mtu safi kuhusu hilo
acha ulofa we hata maandiko ya vitabu vya dini vinasema kila mtu atachukua furushi lake mwenyewe, Richmond ni furushi la edward ndio maana akawajibishwa na bungeNa ndio maana ikulu hawajakana kuhusika na richmond na wala serikali haijamshita Lowassa japo anawasumbua usiku na mchana!
Kwa jinsi anavyowasumbua ccm na serikali wangepanga kumshitaki lakini wanaogopa facts zitazoshushwa mahakamani na serikali kuvuliwa nguo!
Awataje hao wengine......Lowasa ni fisadi full stop

acha ulofa we hata maandiko ya vitabu vya dini vinasema kila mtu atachukua furushi lake mwenyewe, Richmond ni furushi la edward ndio maana akawajibishwa na bunge
Sasa si wamshitaki kama wanaweza waone moto wake.
Kama ripoti ya mwakiembe inamtaja lowasa kama mtu anaestahili kuwajibika kwa sababu ya makosa ya watu wengine kisa tu alikua waziri mkuu sasa hayo maneno ni fisadi wa Richmond yanatoka wapi? Ripoti inasema kulikua tu na mawasiliano kutoka kwa waziri mkuu kitu ambacho ni kawaida kwa kua kwa cheo chake ni lazima ajue kinachoendelea na hapa ndipo ninapomwelewa lowasa kua aliona matatizo haya ya Richmond na ndipo alipotaka kuvunja mkataba lakini ngazi ya juu yake ilimkatalia. Ningeomba wamwache lowasa ni mtu safi kuhusu hilo
Sasa kwa nini mnamwogopa kumshitaki?

Subiri uone atakavyoshitakiwa. Mwizi tu huyo kila alikofanya kazi. Nyerere alimwambia ni mwizi hata kabla ya richmond[/QUOTE]
Ilikuwaje mkampa Uwaziri mkuu?