Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.
hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha lowassa no. No. No. Haiwezekani mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio lowassa. Yeye mbatia ni nani? Inamaana lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?mbatia acha kumdhalilisha lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.
Mwaka 2010 CCM ilikataa midahala, na kuna mdahalo ambao Mhe. Wasira alihudhuria, nimesahau alikuwa anagombea Urais kupitia chama gani. Sasa hivi iwe zamu ya UKAWA kutohudhuria kama ikihudhuria basi, aende mwakilishi.Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.
haya hatutaki mdahalo...katafuteni kingine mje