SawasawaSasa ni mie niko nawe. Ngoja atatumia yakeπ€£π
Kabeeeesa! UduguKabeeesa!
Wambea mtakomaKumbe kweli mko wote.?? π
Mamaahh!!! Nyie hao πππ
Ikitoka couple ya SM inafata yenu na Omulasil mbona wambea huu mwaka tutachoka kusamaraizi
Nimecheka π€£π€£Jamani mbona mnatutesea yatima wa mapenzi..!!! π€£π€£π€£
Na nyie mtafika mbali, kwahiyo Tayana-wog ushajipata mdogoangu? πππ
Wambea tushindwe sie kumumunya ubuyu π€£π€£π€£Wambea mtakoma
Kuelekea valentine ππππ
Kweli umejipata wala sio uongo, na huyo boss wa migodini mayatima tujiandae kuona mnaogelea kwenye mipesa..!!!!Nimecheka π€£π€£
Eti yatima wa mapenzi
Eeh in Maho/Anto voice kabeeesa ,nimejipata kuelekea valentine
π€£π€£π€£Kazi ipo...
Una nn lknKweli umejipata wala sio uongo, na huyo boss wa migodini mayatima tujiandae kuona mnaogelea kwenye mipesa..!!!!
Sie wengine mayatima twende mto mzinga tukaoge tukutane na mamba tutafunwe tupumzike hatuna faida ktk ulimwengu wa mapenzi πππππ
Kumbe bado hujafunga.?? Subiri upinduliwe ndo akili itakukaa vzr πππUna nn lkn
π€£π€£π€£Ngoja nimwambie baby afunge pm watu wa humu wakishajua baby ana maokoto watamvamia bureπ€£
Kabeeeesa! Udugu
Ila hiyo kabeesa ilibidi na vidole na ulimi vikae km vinataka kudondoka πππππ
Unanipa shida kutype kabeeeesa! weee
Kumbe bado hujafunga.?? Subiri upinduliwe ndo akili itakukaa vz
πππ
Nadekezwaaπ€£π€£Utajua hujui
Kantri anasoma comment yako kwa sononeko la moyoKweli umejipata wala sio uongo, na huyo boss wa migodini mayatima tujiandae kuona mnaogelea kwenye mipesa..!!!!
Sie wengine mayatima twende mto mzinga tukaoge tukutane na mamba tutafunwe tupumzike hatuna faida ktk ulimwengu wa mapenzi πππππ
Nimefunga beibe. Haupo usajili hata wa dirisha dogoπββοΈπββοΈUna nn lkn
π€£π€£π€£Ngoja nimwambie baby afunge pm watu wa humu wakishajua baby ana maokoto watamvamia bureπ€£
Kwani shem bado hujanizoea tyuu?? πππIla wewe huwa sichoki kucheka. Boarding ulisumbua sana. Eti vidole na ulimi ungekuwaje? Utakuwa mzaramo wewe .π€£π€£π€£π€£
Wacha weee!!! πππNadekezwaa