MwanaSaikolojia
Senior Member
- Jan 9, 2015
- 197
- 62
Happy women day hope nyote wazima humu ndani,heshima na upendo kwa dada zetu sina mengi leo ila nlikua na ujumbe tu mdogo au ukumbusho.
Nowadays heshima ya mwanamke imeshuka sana,wengi huwaona wanawake kama chombo cha starehe,ila ukwel mambo hayapo hivyo.Mwanamke ndo moyo katika jamii yoyote ile huwezi kuleta maendeleo katika jamii kama mwanamke hatapewa nafasi.
Tukumbuke kuwa wao ndo waliotuzaa,waliotulea waliotsomesha waliokesha usiku kucha ili kuhakikisha sisi tunalala,walio sacrify furaha yao just kwa ajili kuona tukitabasamu,(salute to all mothers in the world).Mwanamke unaemdharau leo, kesho atakua mama wa mwenzako, je ungefurahi mama yako asipoheshimiwa.
Tubadilikeni jamani.