Love

inawezekana unaboa......wasichana huwa tunapenda kuwa na mtu ambae......wenzio wakimuona wanamuapreshieti.......tunapenda sana mabobishi tukiwa na kina baby...........

Sanaaaaa
Btw, majini mahaba nayo hayapo nyuma
 
owkey, na wewe sababu kubwa za kuwaacha ni zipi?
 
Jichunguze ili ujirekebishe unayowakera wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…