Love

Ivon ng'umbi

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
39
Reaction score
4
Kila msichana nikimtongoza ninakuwa na mahusiano mazuri mwanzoni,ila baada ya muda mfupi tunaingia ktk mgogoro.Hii imenitokea takriban kwa wasichana saba..! Nifanyaje ili niepuke tatizo hili.
 
ukiona hivyo rudisha majeshi nyuma ujipange....wenda wako hajatokea!!
 
inawezekana unaboa......wasichana huwa tunapenda kuwa na mtu ambae......wenzio wakimuona wanamuapreshieti.......tunapenda sana mabobishi tukiwa na kina baby...........
 
@pret migogoro ni mingi sana kwani kila msichana ana problem yake...!
 
Hapo wewe ndio tatizo........hebu jiangalie kwanza ni wapi unahisi huwa una mess up!!!!!!
 
Kila msichana nikimtongoza ninakuwa na mahusiano mazuri mwanzoni,ila baada ya muda mfupi tunaingia ktk mgogoro.Hii imenitokea takriban kwa wasichana saba..! Nifanyaje ili niepuke tatizo hili.

🙄🙄🙄
 
Je kiwango unacho? yaaani ufanisi ktk bed,kama ushughuliki vizuri utaachwa tu.
 
Labda kwa sababu una jinsia mbili.

wanaitaga Shemale
 
wewe unaonekana unawivu sana alafu hujui kujal na ni mtu walawama sana. acha ivi vitu utaishi vizuri na wapenzio
 
Kila msichana nikimtongoza ninakuwa na mahusiano mazuri mwanzoni,ila baada ya muda mfupi tunaingia ktk mgogoro.Hii imenitokea takriban kwa wasichana saba..! Nifanyaje ili niepuke tatizo hili.

ni wazi unatabia mbaya ndo maana wanakukimbia jirekebishe!!!!
 
inawezekana unaboa......wasichana huwa tunapenda kuwa na mtu ambae......wenzio wakimuona wanamuapreshieti.......tunapenda sana mabobishi tukiwa na kina baby...........

Mabobishi ni nin?
 
We ndo tatizo, inaweza kuwa we ni mbinafs, au wote hao si type yako!!!
 
wao huwa wanakwambia Huwa wanalalamikia sana nin kwako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…