Love

Ivon ng'umbi

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
39
Reaction score
4
Hivi utajisikiaje unapoona msichana ambaye ulikuwa unampenda na hujamtongoza yupo na jamaa mwingine?
 
Unaumia tena sana tu,ila ndo hivyo inabaki kuwa moyoni mwako tu kwani we si ulishindwa kumwahi mapema so unakuwa huna jinsi,zaidi ya kukaza moyo na kujipa matumaini kuwa wan day utampata mwingine na sio kuanza kumfanyia vsa jamaa aliyekuwahi,mwanaume wa aina hiyo anakuwa amekosa kabisa haiba ya kiume.
 
hata kama yuko na jamaa mwingine lakini as long as hajaolewa nitatafuta namna ya ku-win moyo wake ili nimpate!
hivi kuna wanawake au mabinti ambao wako single kabisaa? ni wachache! pamoja na kuwa na wanaume mbona huwa wanatongozeka na kuchukuliwa na wanaume wengine!!!! mapenzi ni kama timu mbili za mpira ktk mechi! timu moja ikifungwa haiwezi kutoka uwanjani bali inapambana kusawazisha na kushinda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…