love..

love..

Joulzay

Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
5
Reaction score
0
hv jaman nishaurini nfanyaje ili niendlee kumaintain mapnz yangu kw mpenz wngu aliensaliti?
 
ipotezeee na uendelee kumwomba Mungu, jitahidi kumfanyia mambo ambayo yatamfanya asitoke njee huenda kuna kitu anamiss kwako
 
hv jaman nishaurini nfanyaje ili niendlee kumaintain mapnz yangu kw mpenz wngu aliensaliti?

Dah pole sana mkuu!!
ILa kama ameweza kukusaliti kabla wewe hujamsaliti uyo mwanamke ni ana uwezo wa ziada !!
Ukimuoa ndo apo sasaa utakapo cheza ngoma za kikwere
Mara nyingi wanawake wanakua wasaliti kwa kulipiza kisasi !! Sas kama ni vice versa!! Basi eiza anauwezo binafsi au humkuni vizuri
PERIOD
 
It takes two to tango....

kama mwenzako hayupo tayari au hataki mapenzi yenu there is nothing you can do unless kama usaliti wake ulisababishwa na action zako hapo ndio unaweza kubadilika.
 
Back
Top Bottom