Love

Nilaumu kipi kati ya MACHO yangu yaliyokuona au MOYO wangu uliokupenda.

Usilaumu chochote.Its part and parcel of life....Enjoy kila moment jinsi ilivyo..Mwishowe life has to go on no matter what...
 
Hiyo ndio inaitwa "Coordination"...miguu haiwezi enda kama hakuna macho ya kuiongoza....vivyo hivyo kama yasingalikuwa macho labda yangalikuwa masikio yamesikia sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni...
 
Tupa kule haijalishi kipi kiliniponza
 
Vyote vina hatia na inabidi vipandishwe kizimbani haraka sana kwa kushirikiana kufanya uhalifu wa kupenda.




Nilaumu kipi kati ya MACHO yangu yaliyokuona au MOYO wangu uliokupenda.
 
Last edited by a moderator:
Uamuzi wa halali hukumu iso hatia, itakuwa ni muhali kimoja kukionea laumu vyote viwili usilaumu kimoja,,..
jicho ndilo la awali mashaka kukuletea, moyo ukawa wa pili mashakani kukutia adui hawa wawili walaumu wote pia
 
Furahia kwa sababu umejaliwa uzima
 
Nilaumu kipi kati ya MACHO yangu yaliyokuona au MOYO wangu uliokupenda.

Bila Macho kuona Moyo ungependa vipi? Nafikiri Macho yaliona, Moyo ukapenda, Akili ikatamani hivyo unaweza kuilaumu tabia yako ya tamaa! Nasema hivi maana kazi ya Macho ni kuona, na kazi ya Moyo ni kupenda, lakini tamaa ni tabia ya mtu na waweza kuirekebisha kwa kuamua kuridhika!:becky:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…