Jamaa akomae na toto la kikuch kuch hilo kwani walipokuwa wanapeleka nguo kushona si alikuwa anawapima kwa kuwashika makalio na matit hapo hawakuona huo uchafu binti ameongeza kidogo tu kwamba yeye ameshikwa akiwa hana nguo,ampe mimba fasta maana maisha ya wazaz yameisha saiz ni zamu ya binti ilitakiwa wabaki kuwa washauri tu huku wakishuhudia binti yao anavyolicheza sebene la maisha
Dah!!Jamaa yako yuko katikati ya mtihani akimuacha atakua kafanya vibaya sana na pengine bidada akajiua si unajua hawa watu huwa wepesi kujiua . Akiendelea kuishi nae huyo binti wazazi na ukoo wake wote watam-disown. Sasa kazi kwake mwenzake ame-sacrifice mpaka ukoo na huo ndio upendo wa kweli ameacha yote kwa ajili yake.
Mie nakubaliana nawe. Jamaa aonyeshe msimamo na kuendelea mapenzi na huyu binti haitakuwa rahisi lakini inawezekana. Binti kamzimia kwa mapenzi ya kweli na si kwa kuwa na bank account iliyoshiba hadi kumwagika kule bank. Siku hizi ni nadra sana kuona mapenzi ya namna hii.
^^
Eiyer
Hakuna ubaguzi mbaya kama unaohusisha mapenzi. Na hili unaloeleza halikuanza leo, upo ubaguzi wa mapenzi katika rangi, kabila, kiwango cha uchumi na mengine.
Kipimo cha penzi la kweli ni uwezo wa kustahimili magumu. Hao ni wakati wao wa kujisimamia.
^^
Kumbe ilishafanyika hii kitu
Nilikuwa sijawahi kuona aisee......!!!!!!!!!!!!!
Heri yako wewe farkhina ni mwarabu, kama ungekuwa muhindi hata hapa JF tusingekujua .................LOLWahindi gani hao walokua hawajastaarabika?
Dada anaonekana kapenda maana wahindi wana true love...sijui kapewa nini lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hapo dawa aka report polisi hiyo familia wakamatwe na jamaa aishi maisha yake kama kawaida ikiwezekana wahame tu mtaa na kimwana wake wa kihindi ambaye ameonyesha kumpenda kwa dhati asimuache hayo ndo mapenzi vikwazo ila anahitaji ujasiri katika dark period aliyokuwa nayo
Mkuu hawa ndugu wa huyu dada sijui wakoje tu
Inakuwaje unampangia mtu aina ya maisha ya kuishi?
Mbona avatar yako inakinzana na unachokisema?
Heri yako wewe farkhina ni mwarabu, kama ungekuwa muhindi hata hapa JF tusingekujua .................LOL